Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

Status
Not open for further replies.
Watoto wetu wanashida huko mashuleni. Mtu Kiswahili anachoandika humu kibovu mpaka basi utadhani mkimbizi halafu huyo ndiyo anakuja kumfundisha mwanao!!
Dahh jamani div 5 hizi kazi ipo!!
 
Jamani hadi mimi nasubiri hayo majina ya ualimu maana Ninahamu ya shule ile mbaya.
 
Watoto wetu wanashida huko mashuleni. Mtu Kiswahili anachoandika humu kibovu mpaka basi utadhani mkimbizi halafu huyo ndiyo anakuja kumfundisha mwanao!!
Dahh jamani div 5 hizi kazi ipo!!
usijali, mbona amefaulu 4m4 vizuri pia kule nako kuna mtihani wa necta, hivyo usiwe na wasiwasi na wanao wataelewa tu!
 
Sina Usemi Was Stress2,naici Kama ,naelekea Kuoba Chuo Cha Aridhi, Waungwana Ambaye Anafahamu Chuo Chochote Cha Aridhi Naomba ,procedures How To Apply ,
 
Sijaona chuo wanakokwenda. Hii imekaaje jamani anaye jua?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
wadau naombeni mnichekie no.hii s0367/0023 shukrani!
 
Niangalizie nami jina:Joseph Bernard index number S0713/0045
 
ok mchekieni huyu aliomba stashahada daraja 3a namba s 1880/193 INYASI ROMAN
 
Nani kakwambia udom wametoa?
Hayo ni ya wizara.

Daaa! hii ni balaa m2 mzima cjaona jina, lkn kwa mafunzo ya ualimu sayansi/hisabati mbona wametoa KOROGWE NA KLERUU tu pamoja na watakaosoma CA, BA na BN kwa chuo cha MONDULI, vp kuhusu BUTIMBA, MOROGORO, MPWAPWA, TUKUYU pia na couz zingine za MONDULI kama CM, PC, CB, PM, GM, GB n.k!! naomba msaada wenu tafadhali ndugu zangu na MUNGU atawabariki
 
Naomba kuuliza ayo majina ni kwa wale wa six au naomba kujuzwa nimeshindwa kuelewa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…