Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

Status
Not open for further replies.
Inauma sana kwakweli niliomba ila ckuchaguliwa yale ya miaka mitatu yaani advance na diploma ila sioni jina langu mwenye uelewa anijuze tafadhari
 
It's vr confusing!mbona ktk profile kunasomeka still in progress ufafanuzi tafadhali
 
Kuna hizo taarifa naona zinakuwa kwa kasi hasa humu jf katika thread nyingine na maeneo mengine je ni kweli wizara haita wadahili kusomea ualimu wenye div.4 32-34 kwa ngazi ya cheti?
www.moe.go.tz
 
Daaa! hii ni balaa m2 mzima cjaona jina, lkn kwa mafunzo ya ualimu sayansi/hisabati mbona wametoa KOROGWE NA KLERUU tu pamoja na watakaosoma CA, BA na BN kwa chuo cha MONDULI, vp kuhusu BUTIMBA, MOROGORO, MPWAPWA, TUKUYU pia na couz zingine za MONDULI kama CM, PC, CB, PM, GM, GB n.k!! naomba msaada wenu tafadhali ndugu zangu na MUNGU atawabariki

Ngazi Ya Cheti Sizioni ,Majina Yenyewe Yako Iregura Au Ndio Juu YA Lugha Waungwana
 
Haya Mwenye Div Four,aliye Be Selected Anielekeze Na Mimi Nijue Pakuangalia Maana Naona Mi Naona,ni Sitashahada,
 
chet mwaka huu hawachukui,had uchaguz upite,ccm wanataka watmie hzo hela kwa ajl ya uchaguz 2015.
 
tuliwambia watu humu wakabisha mafunzo ngazi ya cheti hakuna na division four hakuna
 
Naomba mniangalizie jina hili wakuu kama amechaguliwa popote
TUMAIN K. DAUD
 
kuhusu hayo majina ni ya wale form six sasa bc wale wa four mu wait ndani ya wiki kadhaa mtadondoshewa yakwenu hapo we kama ni cheti wala usihangaike ku sach jina
 
kuhusu hayo majina ni ya wale form six sasa bc wale wa four mu wait ndani ya wiki kadhaa mtadondoshewa yakwenu hapo we kama ni cheti wala usihangaike ku sach jina

Si sahihi unachosema!
Mbona kuna jamaa wamepata walimaliza form four mwaka jana.
Walipata daraja la tatu..Ila bado hata wenye three wamekosa.
Diploma ya Awali ndo habari ya form four. kwa sasa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom