Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

Status
Not open for further replies.
Wakuu, kwa wale tuliomba masomo ya biashara Kigoma na Shinyanga, Je kuna aliyechaguliwa course nyingine tofauti na aliyoiomba? na wengine wamechangia kua majina ndio mwisho je vyuo hivyo ndio baasi tena?
 
alosema mjina hayatoki tena ana wazimu, kwani babake wazir wa elimu! kuchaguliwa ualimu awali imekua shida, atoke zake asituletee wazambe hapa jukwaani
 
Ndugu yangu, kuna watu wanapenda kuwakatisha tamaa wenzao kitu ambacho si kizuri hata kidogo. Tuombe Mungu isije kua hivyo.
 
watatoa majina mengine mkuu, kwan vyuo vingi tu bado majina hayajatoka

Kuwa mkweli, chuo gani cha umma hakijatoa majina?
Ukweli unauma lkn wametoa vyuo vyote vya serikali, 4m six wamepangwa Advanced diploma na 4m 4 diploma ya awali na wengine diploma ya elimu ya msingi.
Ambayo hawajatoa niya Udom tu lkn ya vyuo vya umma yametoka nani vyuo vyote uvijuavyo labda kama kuna idadi nyingine ya wanafunzi ktk vyuo husika.
 
well said Mkuu
 
SONGEA, DAKAWA, KASULU TC cku hz vimekua makanisa au misikiti acha uzuzu ww. kwa hio butimba itafundisha michezo tu, monduli watasoma wanafunzi 17 kwa mwaka wa kwanza. majina lzma yatoke mengine acheni mambo yenu
 
Ndugu yangu, kuna watu wanapenda kuwakatisha tamaa wenzao kitu ambacho si kizuri hata kidogo. Tuombe Mungu isije kua hivyo.
Ni bora ufahamu ukweli ndugu yangu ili ujipange mapema.
Ndugu yangu, selection ya vyuo vya serikali ndo imetoka hivyo labda kama kuna wanafunz wa akiba, lkn ukiangalia utaona vyuo vyote wamepangwa wanafunz, m ---- madogo nlkuw nawachek n 4m 4 wamepangwa diploma ya awali na kuna m1 n 4m 6 kapangwa Advanced diploma, ni vyuo vyote vya umma wamepeleka watu na utafahamu hilo kama unaangilia kwa kutumia computer coz inakuw simple kuona kila kitu mpk vyuo mkuu,
Pole sana ila kama uliomba na Udom ile programme mpya poa.
 
Mwenye taarifa ya waliochaguliwa chuo ngazi ya cheti shule ya msingi nisaidie
mwenzio roho inadunda please?
 
SONGEA, DAKAWA, KASULU TC cku hz vimekua makanisa au misikiti acha uzuzu ww. kwa hio butimba itafundisha michezo tu, monduli watasoma wanafunzi 17 kwa mwaka wa kwanza. majina lzma yatoke mengine acheni mambo yenu
Mkuu punguza jazba japo kidogo, kuhusu butimba wametosha kumbuka michezo inajumuisha na somo moja la kufundisha sheleni watasoma hvyo its over, monduli ata mwezi haujaisha wamepelekwa wanafunzi wa mafunzo maalum rekebishi, hvyo vyuo vingine ndugu yangu sijajua lkn n bora uwe umeshaweka kuwa hamna coz mfumo umebadika sana n bora ujipange ili kufumba na kufumbua ujue unatokea wapi, we jiulize watu waliomba diploma ya kawaida tu wanapangwa Advanced diploma na kwa taarifa yako Advanced diploma ni sawa na degree ilo halina ubishi mkuu
 
SONGEA, DAKAWA, KASULU TC cku hz vimekua makanisa au misikiti acha uzuzu ww. kwa hio butimba itafundisha michezo tu, monduli watasoma wanafunzi 17 kwa mwaka wa kwanza. majina lzma yaetoke mengine acheni mambo yenu
Mkuu ucwe na jazba, kuhusu chuo cha butimba waliochaguliwa michezo maana yake wanasoma na somo moja la kufundisha shuleni, kuhusu monduli siku si nyingi wamepeleka wanafunz 345 wa mafunzo maalum rekebishi so its over, kuhusu vyuo hvyo vingine ulvyotaja sijui, lkn kumbuka mambo yanabadilika sana kama watu wameomba diploma ya elimu wanapangwa Advanced diploma na yakupasa ujue kuwa Advanced diploma ni equivalent na degree ya elimu.
Elewa kuwa m sikukatishi moyo bali nakupa uelewa na kuwa na tumaini chanya ndugu yangu.
 
SONGEA, DAKAWA, KASULU TC cku hz vimekua makanisa au misikiti acha uzuzu ww. kwa hio butimba itafundisha michezo tu, monduli watasoma wanafunzi 17 kwa mwaka wa kwanza. majina lzma yatoke mengine acheni mambo yenu
Mkuu punguza jazba, kuhusu butimba wanafunz waliopelekwa kusoma michezo maana yake wanasoma na somo moja la kufundisha shuleni, mkuu muda si mrefu ---- wanafunz 345 wa mafunzo maalum rekebishi walipelekwa monduli so its over, kuhusu vyuo hivyo vingine ulvyotaja sijui.
Kumbuka watu maweomba kusoma diploma ya elimu wamepangwa Advanced diploma ya elimu ambayo ni sawa na degree ya elimu mkuu upo hapo!
Sikukatishi tamaa ila nakupa moyo ili uwe na moyo positive ndugu yangu na huo ndo ukweli
 
Aisee reply zmekuwa nyingi for de same post, all in all coz internet ilkuwa inasumbua wakuu.
Lkn naomba tujifunze kujua uelekeo wa upepo, tusifanye mambo kwa kukariri.
 
Mkuu punguza jazba, kuhusu butimba wanafunz waliopelekwa kusoma michezo maana yake wanasoma na somo moja la kufundisha shuleni, mkuu muda si mrefu ---- wanafunz 345 wa mafunzo maalum rekebishi walipelekwa monduli so its over, kuhusu vyuo hivyo vingine ulvyotaja sijui.
Kumbuka watu maweomba kusoma diploma ya elimu wamepangwa Advanced diploma ya elimu ambayo ni sawa na degree ya elimu mkuu upo hapo!
Sikukatishi tamaa ila nakupa moyo ili uwe na moyo positive ndugu yangu na huo ndo ukweli

Vp kuhusu wale wa certificate?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom