black hunter
Member
- Jul 2, 2014
- 33
- 3
Kwa iyo ya four wapi sasa pale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu, kwa wale tuliomba masomo ya biashara Kigoma na Shinyanga, Je kuna aliyechaguliwa course nyingine tofauti na aliyoiomba? na wengine wamechangia kua majina ndio mwisho je vyuo hivyo ndio baasi tena?
watatoa majina mengine mkuu, kwan vyuo vingi tu bado majina hayajatoka
alosema mjina hayatoki tena ana wazimu, kwani babake wazir wa elimu! kuchaguliwa ualimu awali imekua shida, atoke zake asituletee wazambe hapa jukwaani
Ndugu yangu, kuna watu wanapenda kuwakatisha tamaa wenzao kitu ambacho si kizuri hata kidogo. Tuombe Mungu isije kua hivyo.
watatoa majina mengine mkuu, kwan vyuo vingi tu bado majina hayajatoka
Kuwa mkweli, chuo gani cha umma hakijatoa majina?
Ukweli unauma lkn wametoa vyuo vyote vya serikali, 4m six wamepangwa Advanced diploma na 4m 4 diploma ya awali na wengine diploma ya elimu ya msingi.
Ambayo hawajatoa niya Udom tu lkn ya vyuo vya umma yametoka nani vyuo vyote uvijuavyo labda kama kuna idadi nyingine ya wanafunzi ktk vyuo husika.
Kuwa mkweli, chuo gani cha umma hakijatoa majina?
Ukweli unauma lkn wametoa vyuo vyote vya serikali, 4m six wamepangwa Advanced diploma na 4m 4 diploma ya awali na wengine diploma ya elimu ya msingi.
Ambayo hawajatoa niya Udom tu lkn ya vyuo vya umma yametoka nani vyuo vyote uvijuavyo labda kama kuna idadi nyingine ya wanafunzi ktk vyuo husika.
Ni bora ufahamu ukweli ndugu yangu ili ujipange mapema.Ndugu yangu, kuna watu wanapenda kuwakatisha tamaa wenzao kitu ambacho si kizuri hata kidogo. Tuombe Mungu isije kua hivyo.
Mkuu punguza jazba japo kidogo, kuhusu butimba wametosha kumbuka michezo inajumuisha na somo moja la kufundisha sheleni watasoma hvyo its over, monduli ata mwezi haujaisha wamepelekwa wanafunzi wa mafunzo maalum rekebishi, hvyo vyuo vingine ndugu yangu sijajua lkn n bora uwe umeshaweka kuwa hamna coz mfumo umebadika sana n bora ujipange ili kufumba na kufumbua ujue unatokea wapi, we jiulize watu waliomba diploma ya kawaida tu wanapangwa Advanced diploma na kwa taarifa yako Advanced diploma ni sawa na degree ilo halina ubishi mkuuSONGEA, DAKAWA, KASULU TC cku hz vimekua makanisa au misikiti acha uzuzu ww. kwa hio butimba itafundisha michezo tu, monduli watasoma wanafunzi 17 kwa mwaka wa kwanza. majina lzma yatoke mengine acheni mambo yenu
Mkuu ucwe na jazba, kuhusu chuo cha butimba waliochaguliwa michezo maana yake wanasoma na somo moja la kufundisha shuleni, kuhusu monduli siku si nyingi wamepeleka wanafunz 345 wa mafunzo maalum rekebishi so its over, kuhusu vyuo hvyo vingine ulvyotaja sijui, lkn kumbuka mambo yanabadilika sana kama watu wameomba diploma ya elimu wanapangwa Advanced diploma na yakupasa ujue kuwa Advanced diploma ni equivalent na degree ya elimu.SONGEA, DAKAWA, KASULU TC cku hz vimekua makanisa au misikiti acha uzuzu ww. kwa hio butimba itafundisha michezo tu, monduli watasoma wanafunzi 17 kwa mwaka wa kwanza. majina lzma yaetoke mengine acheni mambo yenu
Mkuu punguza jazba, kuhusu butimba wanafunz waliopelekwa kusoma michezo maana yake wanasoma na somo moja la kufundisha shuleni, mkuu muda si mrefu ---- wanafunz 345 wa mafunzo maalum rekebishi walipelekwa monduli so its over, kuhusu vyuo hivyo vingine ulvyotaja sijui.SONGEA, DAKAWA, KASULU TC cku hz vimekua makanisa au misikiti acha uzuzu ww. kwa hio butimba itafundisha michezo tu, monduli watasoma wanafunzi 17 kwa mwaka wa kwanza. majina lzma yatoke mengine acheni mambo yenu
Mkuu punguza jazba, kuhusu butimba wanafunz waliopelekwa kusoma michezo maana yake wanasoma na somo moja la kufundisha shuleni, mkuu muda si mrefu ---- wanafunz 345 wa mafunzo maalum rekebishi walipelekwa monduli so its over, kuhusu vyuo hivyo vingine ulvyotaja sijui.
Kumbuka watu maweomba kusoma diploma ya elimu wamepangwa Advanced diploma ya elimu ambayo ni sawa na degree ya elimu mkuu upo hapo!
Sikukatishi tamaa ila nakupa moyo ili uwe na moyo positive ndugu yangu na huo ndo ukweli