black hunter
Member
- Jul 2, 2014
- 33
- 3
Godi mpale husika ata ww kunijuza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Godi mpale husika ata ww kunijuza
Daaa! hii ni balaa m2 mzima cjaona jina, lkn kwa mafunzo ya ualimu sayansi/hisabati mbona wametoa KOROGWE NA KLERUU tu pamoja na watakaosoma CA, BA na BN kwa chuo cha MONDULI, vp kuhusu BUTIMBA, MOROGORO, MPWAPWA, TUKUYU pia na couz zingine za MONDULI kama CM, PC, CB, PM, GM, GB n.k!! naomba msaada wenu tafadhali ndugu zangu na MUNGU atawabariki
Haya Mwenye Div Four,aliye Be Selected Anielekeze Na Mimi Nijue Pakuangalia Maana Naona Mi Naona,ni Sitashahada,
Ngazi Ya Cheti Sizioni ,Majina Yenyewe Yako Iregura Au Ndio Juu YA Lugha Waungwana
Wakuda tu hawa jamaa, yaani mda wote huu tumesubiri wametoa mzigo nusu. SHUKURU KAWA "MBWA"
kuhusu hayo majina ni ya wale form six sasa bc wale wa four mu wait ndani ya wiki kadhaa mtadondoshewa yakwenu hapo we kama ni cheti wala usihangaike ku sach jina