Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kuingia kidato cha tano na Chuo cha Usimamizi wa Maji 2012

Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kuingia kidato cha tano na Chuo cha Usimamizi wa Maji 2012

Fungakazi

Senior Member
Joined
Jan 11, 2012
Posts
174
Reaction score
128
mzaz huyo anaandka "aarrghhh" ndio nini unamaanisha mzaz mwenzangu.
 
Si ndio hapo. Mi nimesoma pre form five hadi nimechoka. Watoe majina twende zetu skonga.
 
Hivi hili baraza mwaka huu lina nini au ndo kusema wameshndwa kazi. Matokeo wacheleweshe Selection ndo hamna hata fununu aarrghhh, tunashndwa hata kuwaandaa watoto wetu

Shule hazina walimu hasa wa A' Level kwahiyo hata kama utapangwa ujue ukienda huko ni mtaji wa maskini yaani nguvu zako mwenyewe ndizo zitakazokutoa
 
Nimesikia bado wanafanya selection huko Arusha
 
Nimesikia bado wanafanya selection huko Arusha

Selection tayari bado hawajaweka rasmi lakn hali mbaya sana shule zimekosa wanafunzi hasa comb za arts labda science ndo wamejitahd kuselect...na shule zilizokuwa zinategemea kuanzisha A level mwaka huu wasahau wanafunzi hakuna walifeli sana..habar ndo hyo! source: chumba cha selection Arusha via mawasiliano ya sm!
 
nimeshapangiwa ninachoenda kusoma. Nataka yatoke rasmi na wengine wajijue.

teh teh we sema ilibalance combi moja tu na siyo kwamba ulipangiwa wakati selection hazijatoka
 
Hivi hili baraza mwaka huu lina nini au ndo kusema wameshndwa kazi. Matokeo wacheleweshe Selection ndo hamna hata fununu aarrghhh, tunashndwa hata kuwaandaa watoto wetu

Mkuu naona hauna uelewa wa kutosha na majukumu ya hizi taasisi za serikali. Jukumu la NECTA ni kutunga mitihani na kutoa matokeo. Wakishatoa matokeo kazi yao inaishia hapo wanasubiri uchaguliwe wakule kichwa tena. Kazi ya kufanya selection ni kazi ya wizara.
 
taarifa ni kwamba wakuu wa shule zenye A-level walitakiwa wafike arusha tangu tarehe 28/02/2012 lakini wakiwa wanajiandaa kwenda wakapewa taarifa yakutokwenda hadi watakapotangaziwa tena, pasi na shaka huenda hadi sasa bado hawajapewa taarifa ya kwenda.
 
Hivi hili baraza mwaka huu lina nini au ndo kusema wameshndwa kazi. Matokeo wacheleweshe Selection ndo hamna hata fununu aarrghhh, tunashndwa hata kuwaandaa watoto wetu

Karibu St. Mary's Teachers College.
 
usiwe na hofu utapelekwa tu huko kantalamba..

We unaona Kanta ndo jehanamu eeh! Sisi tumekwenda Kanta tukakamua Wani kali kuliko za wanafunzi waliosoma ST. Chokuleti, tumegonga vyuo na tuna kazi nzuri. Ninaiheshima Kanta sana tolea mfano shule yako.

Kama vipi baki mjini aafu ishia billz wikiendi nini afu usublie matokeo...
 
na baadhi ya shule karibu wanafungua shule kama njoss wanafungua 28.03.2012 hivyo wazaz tujiweke sawa mapema.tuwe tayari cku na saa yoyote
 
History ndio imeangusha raia, na business mwaka huu ilikua balaa sana, ngoja tuone tunatupiwa wapi maana www.moe.go.tz kwa sasa haipatikani hewan...

wewe ndo umenena,kila saa najaribu kufungua hyo tovut na kuna sehemu pameandikwa,"selections"lkn ukiifungua haifunguki cjui kw nini?
 
Back
Top Bottom