Fungakazi
Senior Member
- Jan 11, 2012
- 174
- 128
WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kuingia kidato cha tano na Chuo cha Usimamizi wa Maji 2012.
Orodha ya wanafunzi hao hii hapa: Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kuingia kidato cha tano na Chuo cha Usimamizi wa Maji 2012 | Fikra Pevu | Kisima cha busara!
Hivi hili baraza mwaka huu lina nini au ndo kusema wameshndwa kazi. Matokeo wacheleweshe Selection ndo hamna hata fununu aarrghhh, tunashndwa hata kuwaandaa watoto wetu