Majina ya wapiga kura katika kila kituo yamebandikwa kama wiki hivi. Ukingalia hakuna serial numbers ambazo ni muhimu kujua kila kituo kina wapiga kura wangapi. Tumeambiwa ukifika unataja serial number ya jina lako, then msimamizi inakuwa rahisi kuliona na process ya kupiga kura inakuwa rahisi. Maana yake ni nini kutokuwepo serial numbers? Kwenu kukoje?
1. Unaweza uka declare idadi yoyote ya wapiga kura kwenye kituo to the benefit of CCM
1. Unaweza uka declare idadi yoyote ya wapiga kura kwenye kituo to the benefit of CCM