Majina ya wapinzani yachomoza CCM, wapigania chama hoi2025

Majina ya wapinzani yachomoza CCM, wapigania chama hoi2025

Sanyambila

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2018
Posts
403
Reaction score
539
Salaam nyote,
Baada ya subira ya ya vuta heri Sasa kunako jukwa la CHAMA Cha mapinduzi hakuko sawa baada ya WAPIGANIA CHAMA kuachwa Richa ya kushinda.
1. Kishoa , Baba Revo, Bulaya, n.k
Wengi walioachwa wananung'unika kuwa tumekijenga CHAMA kwa jasho na machozi ,Fedha lakini watu wamevuka tu barabara Toka CHADEMA TO CCM Wana ubunge na udiwani.
Kwa Hali hii una uonaje uchaguzi wa Mwaka huu
1. Huku CHADEMA ni no reforms no Election 2025
2. CCM wamegawanyika mf.polepole, Gwajima ,Malisa.
3. Dini haziamini Tena mfumo wa time ya uchaguzi upige usipige kura CCM inapita
4. Wananchi wapo njia panda.
Haya hapa majina ya wateule wa ubunge
Na KATIBU Mwenyezi na KATIBU mkuu wa CHAMA this is no retreat no surrender Mbele daima nyuma mwiko😅😅😅


Ni maoni yako
 

Attachments

Bulaya na Esther ni kipenyo mda sana
Nashangaa sana kwamba watu hawakuwajua Hawa watu wakati Bulaya alikabidhiwa mission ya kula na kunywa na mdee na akaiweza halafu utegemee wasipewe nafasi zao mbona ilikuwa wazi
Sema Bulaya angekuja kunichunguza hata mi nisingechomoka 🥰
 
Back
Top Bottom