majina ya wasichana

hii sredi ilianza na ugomvi v/s ushindani, lakini naona inaishia na kutongozana hehehe JF bana.
 
Kwa niaba ya wale wote walioshiriki kuchangia,napenda kusema kuwa tumemaliza salama.Zote zilikuwa burudani na naamini mmefurahia.Kama kuna mtu alikwazika,tunaomba radhi,haikuwa nia yetu.

Acid uwe na amani,tutaanzisha mjadala mwingine na nina imani utashinda,kwa leo ushindi umeenda kwa Master wa majina hasa machafu ya wasichana ndugu yangu HASHYCOOL.

Tatiana,Shosti,Husninyo and Preta.........Aluta Continua.

I love YOu 2,you have made my day!
 
kuna mdada hapa kijijini anaitwa "wheel chair" hehehe anabeba kila kitu.
 
Nimecheka vya kutosha ila naona mmesahau jina maarufu sasa hivi ........mcharuko.
 
same here. dah! sikukushtukia mazee! naona waarabu wamekugeuza simba gafla! hehehe ile toto made in abuzabi iko wapi? nimeimiss kweli aisee lol

ile kitu iko bize sana siku hizi ka fundi saa alopoteza nati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…