Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
mpenzi wametuchakachua,eti ushindi wao
michelle ametusaliti jamani.
Mi sikubali nataka nikate rufaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mpenzi wametuchakachua,eti ushindi wao
ahaaa! Kumbe ulikuwa unamaanisha mikono kwa kuwa naitumia kufanya kazi then napata pesa inaleta jeuri?
kona hii yangu macho..
mie niiteni Afrodenzi
mengine siyahitaji
michelle ametusaliti jamani.
Mi sikubali nataka nikate rufaa.
afro hawa watu leo tumewatolea uvivu. Maana wamezidi na posts zao za kutukandamiza.
kwa kweli nimeona umewaoneshea kidogo jinsi 2011 ilivyo ...
haya mkihitaji morrow saport mniite
lakini mume wangu yuko hapa
nangoja alale kwanza
maana mmmhh asije akani nyima baada ya kuona haya majina hahhha lol
hili sredi bado linaendelea?
hili sredi bado linaendelea?
Hahahh njaa ya siku moja haiui mtu !!! hahah LOL
tena tumemuweka mlinzi wa kimasai atulindie sredi yetu.
mie washankera hawa wametoa ushindi ndivyo sivyo,ngoja tuandamane au vipi
mi mwenyewe wamenikera.
Wamechakachua waziwazi.
Tuandamane tudai haki yetu.
wewe unakuwa wapi mpaka yeye amalize mchezo na kukuwacha wewe nanihiimmmhhh we acha bwana
wanaume wanavyojua ku keep record
utaambiwa
jumatatu usiku
saa tano na dakika 17
na skunde 31 usiku..
unakumbuka tuligombana ajili ya majina ya kihuni uliyo niita..
halafu sijui mna lalamika nini......
kuku umiza kabisa anaweza kusema..
yule girlfriend wangu wa miaka ya nyuma "secondari"
alikuwa ananiita darling, sweety, babe, honey, pampkin, pitches...........
halafu we waniita kenge, mamba, jibwa, kidume sijui poyoyo..
mmmhhhh balaa sitaki
si borea tufurahishane
maana na jua baada ya mchezo ye kasha koroma
halafu mie ndo ......
lifunge rasmi mkuu
tena tumemuweka mlinzi wa kimasai atulindie sredi yetu.
hehehe ok, kwa niaba ya waasirika wote wa ukimwi wa afrika mashariki na kati napenda kutangaza kwamba hili sredi limefungwa ofishiali. yoyote atakaetoa jina la kashfa kwa jinsia isiokuwa ya kwake atahukumiwa kwa kunyang'anywa pasiwedi ya JF.
NB: sredi linaweza kugeuzwa chatroom kama mbadala wa nyumba ndogo ya forum.
asanteni kwa ushirikiano
wewe unakuwa wapi mpaka yeye amalize mchezo na kukuwacha wewe nanihii
mie saa nyingine naona mnajitakiaga.........mawazo yenu siju ndio yako kwa
Safari wakati huo...... hahah mpaka uje uyarudisha kwa Ako Nai, yeye keshamaliza.
Weka mawazo yako uwanjani
muhimu ama sivyo Michelle abatilishe matokeo hapa
mmmhh jamani yeye atachukua masaa sita kumaliza mchezo mwenyewe..
halafu hapoo na kujichubua ajili anatumia nguvu sana..
mmmhhh ndo maana nikasema tumalize mchezo..
mmmhh mie nikimsaidi gusa,lamba, kula, nyonya mmhhh
hachukui hata nusu saa,
hahahhah lol