majina ya wasichana

nani aibe password yako baby wakati tunajua mm na ww tu!KWANI HUKUMWAMBIA UMEONJA ASALI NA UNATAKA KUCHONGA MZINGA?TELL AFRODENZI UKWELI U KNW SHE WILL LOVE U MORE WITH UR BEAUTIFUL LIE!:love::love::love:
Dah! Leo kazi ipo
 
usilie sana mpz hawezi kuisha huyo si unajua si sabuni!lia kidogo tu pia elewa yuko sehem salama anakula taratiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu!πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:
maaaaaamaaaaa wewewewe:Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry:
 
endelea tu x- wangu..
kila lakheri nsa safari yako
mie narudi nyumbani..

kwanza wengi watafurahi kusikia niko single..
kwa heri....
Yamekuwa hayo unakumbuka ishu yako na hashy nilikusamehe
 
usilie sana mpz hawezi kuisha huyo si unajua si sabuni!lia kidogo tu pia elewa yuko sehem salama anakula taratiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu!πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:
Dah! Aisee
 
hapa kugeuka hawezi kwa maufundi niliyonayo ni ALUTA.........,ila mm mwenyewe siwezi kukaa na mtu mmoja so ww endelea kuwa mpole nipe kama miezi miwili tu nimtumie then ntakurudishia wa hubani wako!:tongue:

mmmhh haya bibie we bore umpe hayo maufundi yako
halafu baada ya wiki anachanya niliyo mfundisah na hayo yako...
halafu we waanza kutanga na njia tena..

mmhh miezi miwili ni mingi sana hata kaa na we kwa huo muda...
kwani anajua ni nani zaidi...
kuna chatroom kule kwenye "signature nizipendazo ndo mahali mie na Dena, smile,Kimey tunawaza tuwa fanye nini..
anyway mie borea nirudi kule unakaribisha ...

haya kila lakheri...
 
Hivi ni kwa nini wasichana wanapewa majina tofauti na wavulana?

Mfano:

1. DEMU
2. MLUPO
3. SHORI
4. KISHTOBE
5. MANZI
6. SISTA DUU
7. SKETI

Kama unayajua mengine unaweza ongezea

8. Luzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…