majina ya wasichana

majina ya wasichana

mi sioni shida as long as anamaanisha msichana. ni kawaida. lugha ni sauti za nasibu zilizokubaliwa na jamii kwa ajili ya mawasiliano. ni za nasibu kwa vile huibuka tu kwa bahati na hakuna mtu anayekaa chini kupanga lugha. pia jamii na lugha inayotumiwa na jamii sio vitu static, vinabadilika kutokana na hisia kadiri ya wakati. ni kawaida mwanaume kumsifia mpenzi wake wa kike au hata kumtungia jina maalum kulingana na hisia na vionjo vyake. mfano honey au sweet, ukiangalia utaona a kind of appreciation for a sweet and honorable relationship or even intercourse. it is a product of an active intimacy. personally i am always happy to be called names as long as they dont humiliate my person. hata wasichana pia huwaita BF/waume zao majina ya hisia mfano kuna wanotumia maneno kama sweet na honey kama yatumikavyo kwa wanawake
 
he he he.....wao wameishiwa.....wameamua kuingia mitini.......

ha ha ha! Bora tumewakimbiza mapema maana walikuwa washaanza kuharibu hali ya hewa.
Amebaki the finest.
 
Halafu wewe Husninyo una kesi kumbe hayo majina ndio huwa unaniita ukifika nyumbani leo utanieleza vizuri

nyumbani huwa namaanisha mpenzi.
Si unajua tena neno linaweza kuwa na maana zaidi ya moja.
 
Hivi ni kwa nini wasichana wanapewa majina tofauti na wavulana?

Mfano:

1. DEMU
2. MLUPO
3. SHORI
4. KISHTOBE
5. MANZI
6. SISTA DUU
7. SKETI

Kama unayajua mengine unaweza ongezea

Buzi (bulls).
Samaki.
Atm.
 
Wow,kazi ipo!
am proud of my gals Tatiana,Husninyo and Shosti.Big up Yourselves. Aluta Continua!
 
Back
Top Bottom