Mgosi Mbena
JF-Expert Member
- Nov 28, 2023
- 499
- 604
ndioAmbwene-ameniona
Kweli kabisaAmbonisye-amenionyesha
hili jina la mbeya😂😂andongwisye
ndiohili jina la mbeya😂😂
Asajile hiki ni kinyakyusaAsajile-amenibariki
hili linamaanisha nini mzee KatobeMwakatobe
Haya majina ni majina ya kiasili ya mikoa ya Nyanda za juu kusini.
1.Ang’ombwize
2.Alatuhiga
3.Atupele
4.Tulalumba
5.Mwadalihe
6.Ambwene
7.Anzawe
8.Chengula
9.Mgaya
10.Mbilinyi
12.Mwamgeni
13.Mwinuka
14.Mbwambo