Majina ya watu wa Nyanda za Juu Kusini (Njombe, Iringa na Mbeya) Ongeza unayoyajua

Majina ya watu wa Nyanda za Juu Kusini (Njombe, Iringa na Mbeya) Ongeza unayoyajua

Haya majina ni majina ya kiasili ya mikoa ya Nyanda za juu kusini.

1.Ang’ombwize
2.Alatuhiga
3.Atupele
4.Tulalumba
5.Mwadalihe
6.Ambwene
7.Anzawe
8.Chengula
9.Mgaya
10.Mbilinyi
11.mwaluhanzo
12.Mwamgeni
13.Mwinuka
Unazingua

Sisi watu wa songea usingetujuumuishaunnaziingua
 
Naomba maana ya majina yafuatayo:
Asajile,
Afundile,
Andendekisye
Atupele
Ahobokile
Angolile
Andulile
Sekela
Andungulile
.......
Asajile-amenibariki,Afundile-kanikomoa,Andendekisye-kanitengeneza,Atupele-ametupa(kupewa),Ahobokile-kanifurahia,Angolile-ameniita,Andulile-amenisaidia,Sekela-nichekee,Andungulile-halina maana kwa sababu ndungu ni uke
 
Back
Top Bottom