Majina ya watu wa Nyanda za Juu Kusini (Njombe, Iringa na Mbeya) Ongeza unayoyajua

Majina ya watu wa Nyanda za Juu Kusini (Njombe, Iringa na Mbeya) Ongeza unayoyajua

Asajile-amenibariki,Afundile-kanikomoa,Andendekisye-kanitengeneza,Atupele-ametupa(kupewa),Ahobokile-kanifurahia,Angolile-ameniita,Andulile-amenisaidia,Sekela-nichekee,Andungulile-halina maana kwa sababu ndungu ni uke
eti madamu,,kunyola kwa wabena ni kufinya,,huko kwenu kunyola ina maana gani !?

yaani mtu aseme nitakunyola....................
 
Kajigiri
Mwambapa
Asangalwisye
Mwakatumbura
Kinyamagoha
Fungamwango
Mafumiko
Kinyamapigo
Msugupahulya
Kilipamwambo
Mbogayilongwe wugali mumbele
 
Kajigiri
Mwambapa
Asangalwisye
Mwakatumbura
Kinyamagoha
Fungamwango
Mafumiko
Kinyamapigo
Msugupahulya
Kilipamwambo
Mbogayilongwe wugali mumbele
Msugupahulya🤣🤣🤣🙌🏾
 
Haya majina ni majina ya kiasili ya mikoa ya Nyanda za juu kusini.

1. Ang’ombwize
2. Alatuhiga
3. Atupele
4. Tulalumba
5. Mwadalihe
6. Ambwene
7. Anzawe
8. Chengula
9. Mgaya
10. Mbilinyi
11. Mwaluhanzo
12. Mwamgeni
13. Mwinuka
Mwinuka
 
Asajile-amenibariki,Afundile-kanikomoa,Andendekisye-kanitengeneza,Atupele-ametupa(kupewa),Ahobokile-kanifurahia,Angolile-ameniita,Andulile-amenisaidia,Sekela-nichekee,Andungulile-halina maana kwa sababu ndungu ni uke
Uuuwiiii, hapo la mwisho sasa, au nilisikia vibaya!!
Inawezekana wale vijana Walikuwa wanamdhihaki yule Ms eeee!?? Loooh!!
Bora nimeuliza, maana.....
 
Uuuwiiii, hapo la mwisho sasa, au nilisikia vibaya!!
Inawezekana wale vijana Walikuwa wanamdhihaki yule Ms eeee!?? Loooh!!
Bora nimeuliza, maana.....
Nimekosea,ndungu ni uume,na ndugu ni uke
 
Mlawa,Mlowe,Mlowo,Mlelwa,Mligo,Mlapopo,Mlandizi,Mlambwa,Mlasimbilisi,
Mwalonde,Mwajombe,Mwangata,Mwakalukwa,Mwakalebela,Mwashiuya,Mwalongo, Mwakalebela,Mwakajinga,Mwakalinga,Mwamnyeto,Mwasongwe.
Mwilamba, Mwilombe,Mwinuka,Mwisongwe na kadhalika yapo mengi sana nitajaza server za JF
 
Back
Top Bottom