MUME MWEMA
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 327
- 44
list ya wavulana walochaguliwa kidato cha tano.
mwajei nashukuru sana kwa hili.list ya wavulana walochaguliwa kidato cha tano.
S3993/0129 Boniface M Luoga - Vanessa Mahiwa CBG
Jamani nisaidieni kujua alipopagwa huyu Dickson magezi namba s0397/0097 amesomea rulenge sekondari msaada tafadhari
nisaidie watu hawa Mahwata R Mahwata na Boniface Jacob Katambi
list ya wavulana walochaguliwa kidato cha tano.
Waheshimiwa vipi majina ya girls naweza yapata pande zipi? :A S-key: coz nimeona link ya boyz tu. nashukuru in advance....
list ya wavulana walochaguliwa kidato cha tano.
DICKSON M ELIKANA anatoka Rulenge Anakwenda LULUMBA PCB
Mwajei naomba nisaidie jina la SADA MONGERA SAVERY shule aliyotoka MALAMBO SEC.
jamani nisaidieni hawa watu lilian sebastian bilishanga na isaac madeleka
Sada M zaveri toka Malambo
Anakwenda LUKOLE HGL
DICKSON M ELIKANA anatoka Rulenge Anakwenda LULUMBA PCB