Majina ya wavulana waliochaguliwa kidato cha tano

Majina ya wavulana waliochaguliwa kidato cha tano

list ya wavulana walochaguliwa kidato cha tano.
mwajei nashukuru sana kwa hili.

Kiukweli nimefarijika moyoni, sina chakukupa zaidi ya ahsante ila naamini Mungu atakuzidishia zaidi na zaidi. Uendelee kuwa na moyo huo huo hakika hautapungukiwa hata siku moja.

Ila ingekua vyema kama ungetuambatanishia na ya wasichana ili tupate kuiona.

Thanks a lot.
 
Last edited by a moderator:
Jamani nisaidieni kujua alipopagwa huyu Dickson magezi namba s0397/0097 amesomea rulenge sekondari msaada tafadhari
 
Jamani nisaidieni hawa watu lilian sebastian bilishanga na isaac madeleka
 
Waheshimiwa vipi majina ya girls naweza yapata pande zipi? :A S-key: coz nimeona link ya boyz tu. nashukuru in advance....
 
Bora watoto muende shule wakubwa tupumue loh kila siku mnasumbuuua kumbe form four livaz khaaa psyuuuuii
 
Jamani nisaidieni kuchek watu hawa RICHARD SIMON, PATRICK LUGANO, PETER PETER na MALENDA NYANGUSI
 
Back
Top Bottom