S1261/0085 Mwakibage Wailes Mwakibage - Merriwa Kisarika CBG
hakuna mwenye PDF ya list ya wasichana?
dogo taratibu, angalia jina kubwa hilo.hii hapa ni wewe?
dogo taratibu, angalia jina kubwa hilo.
sijaomba link ya moet, haifunguki, kama kuna aliye'download hiyo list ndo nimeomba aiweke hapa kama walivyoweka hiyo ya wavulana kwenye post ya kwanza, umeelewe dogo? sishangai ni kwanini umefeli hesabu.sasa ulkuwa unabsha kitu usichokijua ndo mana nkakuwekea link chap umeicheki lakini?
sijaomba link ya moet, haifunguki, kama kuna aliye'download hiyo list ndo nimeomba aiweke hapa kama walivyoweka hiyo ya wavulana kwenye post ya kwanza, umeelewe dogo? sishangai ni kwanini umefeli hesabu.