Majina ya wavulana waliochaguliwa kidato cha tano

Majina ya wavulana waliochaguliwa kidato cha tano

mkuu niangalizie na said mohamed na moses rugera wote kayenzi secondary xul
 
sasa ulkuwa unabsha kitu usichokijua ndo mana nkakuwekea link chap umeicheki lakini?
sijaomba link ya moet, haifunguki, kama kuna aliye'download hiyo list ndo nimeomba aiweke hapa kama walivyoweka hiyo ya wavulana kwenye post ya kwanza, umeelewe dogo? sishangai ni kwanini umefeli hesabu.
 
we ulifaulu?
 
aiseeee babayangu sasa mkaome wanangu mtuachie JF yetu tuendelee kupambana na c c m
 
Na waliochaguliwa chuo link gan wanaptkana.jaman msaada
 
Back
Top Bottom