Kwani kunani pale..??
Tujuzane ili tuone kama tunaweza ongeza nguvu,japo tumevuta hiyo mikopo yao...
Wengine wanasema wa equivalent na diploma. Sasa st joseph. Wengine DIT na MAJI . isiwe ni divide & rule! Twende kesho tupewe majibu ya kueleweka. Tulio mbali mtuwakilishepaparazzi tangu jumatatu ya wiki hii tuna updates taarifa nyingi zinazohusiana na kinachoendele kuanzia pale HESLB na sasa habari zimehamia wizara ya elimu,tafuta thread zote zipo humu uzipitie faster ili kesho asilaumiwe mtu.
Pamoja Sana