majina yaliotolewa na bodi ya mkopo ni ya st.joseph university tu.

majina yaliotolewa na bodi ya mkopo ni ya st.joseph university tu.

mkisyeli

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Posts
260
Reaction score
76
habari wana jf napenda kuwajulisha kuwa baadh ya majina ya wanafunz waliopewa mkopo ni wale wa st.joseph university tu so wale wengine kesho wizarani mapema tu hadi paeleweke.
 
My army today i was very disappointed kutokana na hiki wanachofanya bodi!nimeghafilika vibaya mno yaani!
Enyi wanafunzi wenzangu mlioko dar na mikoa ya karibu tunaomba sana kesho mapema muelekee pale wizarani kujua hatma yetu.Tutaendelea kunyanyaswa hadi lini?much pain
 
Kwani kunani pale..??

Tujuzane ili tuone kama tunaweza ongeza nguvu,japo tumevuta hiyo mikopo yao...
 
Kwani kunani pale..??

Tujuzane ili tuone kama tunaweza ongeza nguvu,japo tumevuta hiyo mikopo yao...

paparazzi tangu jumatatu ya wiki hii tuna updates taarifa nyingi zinazohusiana na kinachoendele kuanzia pale HESLB na sasa habari zimehamia wizara ya elimu,tafuta thread zote zipo humu uzipitie faster ili kesho asilaumiwe mtu.
Pamoja Sana
 
Wengine wanasema wa equivalent na diploma. Sasa st joseph. Wengine DIT na MAJI . isiwe ni divide & rule! Twende kesho tupewe majibu ya kueleweka. Tulio mbali mtuwakilishe
 
Back
Top Bottom