Mangwea1900
JF-Expert Member
- May 29, 2025
- 2,484
- 3,277
Basi la Mbeya_Dar liliitwa Tanzania Railways authority ( TRC),Safina, Scandinavia.Dodoma _Mbeya urafiki,konda akiwa huyu Simbachawene!Kama unakumbuka majina au jina la gari ulipokuwa unaishi kuanzia miaka ya 1962-1990 tushirikishane hapa.
Basi la abiria kati Tabora hadi Mwanza liliitwa "MABOYA"
Watoto wa 2000 mkalale
Safi sanaPompolilo Kilosa Mtimbila
HahahahaAAABasi la Mbeya_Dar liliitwa Tanzania Railways authority ( TRC),Safina, Scandinavia.Dodoma _Mbeya urafiki,konda akiwa huyu Simbachawene!
Tanzania railways co operation(TRC)Basi la Mbeya_Dar liliitwa Tanzania Railways authority ( TRC),Safina, Scandinavia.Dodoma _Mbeya urafiki,konda akiwa huyu Simbachawene!
Daah urafiki ilikuwa kampuni bomba sana.Walikuwa na leyland Daf.Basi la Mbeya_Dar liliitwa Tanzania Railways authority ( TRC),Safina, Scandinavia.Dodoma _Mbeya urafiki,konda akiwa huyu Simbachawene!