Sweta LA Tanzania
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 897
- 2,835
Unazingua apo kina jojo sio kweliMwantumu
Maimuna
Mwanahamisi
Hadija
Shida
Tabu
Mwajuma
Aisha
Ukija tena kwa kina JoJo,Momo,de cute,nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Halima
Aziza
Hadijah
Fatuma
Irine
Dorne
Sara/sarafina.
Hatari hao watu
Grace. Samahani kama kuna Grace hum ila wenye hili jina jamani hapana
Mamaeee Marry ndo mwisho was yoteHappy,Marry
Upande wa kiume Emmanuel au Imma kama tulivyozoea kuwaita, wanakuwaga hawajatulia kabisa, hata kama sio upande wa wanawake lazima watakuwa watundu
Wakin SAIDI wapole sanaa halafu hawanaga tabia mbaya hata kidogo kwanza ni wacha mungu halafu watulivu hadi wanakuwa wajinga .
N.b
Ninarafiki yangu hadi namuona kama zoba sasa manake ni mpole balaa sjajua inasababishwa na nini hii kitu.
Daaah!! Nimemkumbuka rafiki yangu Grace, kumponda Grace siyo poa
Kwa kiasi kikubwa jina lina beba tabia ya mtu,Jina halibebi tabia ya mtu.
Una duku duku juu ya nani hapo?
jina haliwezi elezea tabia ya mtu
Hshahahahah aisee Kuna majina haya hadhi kabisa kwa baadhi ya kaziSiku nilipokea namba ngeni akajitambulisha Doctor Mudy nikacheka nikamwambia uongo sipendi hakuna doctor anaeitwa Mudy akashangaa nikamkatia cm akapiga akakiri yeye si doctor.
jack,fauzia,Aisha,AshaNi majina gan yamekaa kiuzinzi,vicheche?..yaani ukilisikia tu unajua huyu ZOA ZOA ..
AiseeeeWenye majina ya kilugha wanadondokea wapi? Maana kuna atupele, hapa ndio niliamini maharage ya mbeya maana yake nini.
Unamaanisha Felister nini mkuu!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unazingua mkuu...kuna jina hapo halistahili kuwepo [emoji30]