Majina yaliyokaa kiuzinzi uzinzi

Majina yaliyokaa kiuzinzi uzinzi

Mpaka hapo ushaliona Jina la Dada yako au Kaka yako.
 
Siku nilipokea namba ngeni akajitambulisha Doctor Mudy nikacheka nikamwambia uongo sipendi hakuna doctor anaeitwa Mudy akashangaa nikamkatia cm akapiga akakiri yeye si doctor.
Hshahahahah aisee Kuna majina haya hadhi kabisa kwa baadhi ya kazi

Doctor mudy doctor shebby doctor side[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom