Mr.samba de man
Member
- Sep 4, 2013
- 55
- 7
Kwa kweli mimi kama mdau wa elimu inaniuma sana ninapoona kuna tasisi kubwa kama TCU kushindwa kusimamia vyuo kama kweli ina mandate kwa nini isilazimishe vyuo ambavyo vimepewa majina ili vitangaze lakn mpaka leo hawajatangaza selection za degree mf Sua, Mzumbe n.k! La hasha! Mwanafunzi mfano anayetokea kazini aombe ruhusa lini ajiandae lini kwenda chuo? Hata huyu F6 ajiandae saa ngapi? Mi namalizia kwa kusema bora kila chuo kudahiri wanafunzi wake kuliko kuwa TCU ambayo msaada wake hatuoni!!