Majina yamechelewa kutoka, mwanafunzi atajiandaa muda gani?

Joined
Sep 4, 2013
Posts
55
Reaction score
7
Kwa kweli mimi kama mdau wa elimu inaniuma sana ninapoona kuna tasisi kubwa kama TCU kushindwa kusimamia vyuo kama kweli ina mandate kwa nini isilazimishe vyuo ambavyo vimepewa majina ili vitangaze lakn mpaka leo hawajatangaza selection za degree mf Sua, Mzumbe n.k! La hasha! Mwanafunzi mfano anayetokea kazini aombe ruhusa lini ajiandae lini kwenda chuo? Hata huyu F6 ajiandae saa ngapi? Mi namalizia kwa kusema bora kila chuo kudahiri wanafunzi wake kuliko kuwa TCU ambayo msaada wake hatuoni!!
 
mwaka huu wameonyesha udhaifu sana - mradi wame-pocket 50,000/= basi yanayofuatia hayawahusu!!!!!!
 
Sometimes mnailaumu bure TCU kwann msiwalaumu waliohalalisha mitihani ya A LEVEL kufanyika Mwezi May. ..jaribuni ku trace the source of the problem

Hapo A level examinations ingekuwa February ingekuwa selection zimetoka hata early of September bila kurupushani hiyo amabayo ipo...sio kuishutumu TCU
 
Tatizo cyo tcu... bali tatizo lipo kwa vyuo kwani huchelewesha kurudisha majina ya wanafunzi wa elimu ya juu...... tcu haiwezi kutoa majibu ya chuo kimojakimoja bali inahitaji majibu ya vyuo vyote ili kutoa ripoti ya ujumla
 
Tatizo ni la TCU coz ndo ilikuwa na majina yote yaliyopitishwa na kila chuo juzi tarehe 22ktk mkutano uliofanyika Ubungo Plaza,kilichowafanya wasiyaachie majina hayo kama ilivyo utaratibu wa miaka yote ni nini hadi wawaachie zigo hilo wahusika wa vyuo??? hukumu hutolewa mahakamani na hakimu na c kurudishiwa kesi askari aliyemkamata mhalifu ili amhukumu huu ni udhaifu na ktk hili TCU wame prove failure ni jukumu lao kuachia majina sioni haja ya kuendelea kuwasafisha coz abadan asilan hawasafishiki...........!!!!!!!!!!!!!!!!! AIBU YAO:sleepy:
 
Kwa kweli mimi kama mdau wa elimu inaniuma sana ninapoona kuna tasisi kubwa kama tcu kushindwa kusimamia vyuo kama kweli ina mandate kwa nini isilazimishe vyuo ambavyo vimepewa majina ili vitangaze lakn mpaka leo hawajatangaza selection za degree mf Sua,mzumbe,n.k! La hasha! Mwanafunzi mfano anayetokea kazini aombe ruhusa lini ajiandae lini kwenda chuo? Hata huyu f6 ajiandae saa ngapi? Mi namalizia kwa kusema bora kila chuo kudahiri wanafunzi wake kuliko kuwa tcu ambayo msaada wake hatuoni!!
TCU wameanzisha utaratibu mpya wa kutoza ada kwa ajili ya maombi ya uhamisho kutoka chuo kimoja kwenda kingine. Hoja yangu ni hii: Inakuwaje ninyi tcu badala ya kuhudumia wanafunz mnaigeuza tume kuwa ya kibiashara na kuwatwisha wazazi/walez mizigo ya ada isiyo na msingi? U~app fee ilikuwa 30,000 mkaona haitoshi mkapandisha up to 50,000, juzi juz tena mmegundua njia ya kutuchuna mmeamua kuanzisha Quality Assurance fee ya tsh 20,000~ hii nayo sijui mmeona haitoshi mmeamua kuleta ada ya maombi ya uhamisho ya tsh 30,000. Kwa kazi gani ngumu mnayoifanya kuwazidi HESLB kias cha kuwa mnaanzisha fees kienyeji na zisizo na mpango kiasi hiki?
 
Sometimes mnailaumu bure TCU kwann msiwalaumu waliohalalisha mitihani ya A LEVEL kufanyika Mwezi May. ..jaribuni ku trace the source of the problem

Hapo A level examinations ingekuwa February ingekuwa selection zimetoka hata early of September bila kurupushani hiyo amabayo ipo...sio kuishutumu TCU

TCU wameanzisha utaratibu mpya wa kutoza ada kwa ajili ya maombi ya uhamisho kutoka chuo kimoja kwenda kingine. Hoja yangu ni hii: Inakuwaje ninyi tcu badala ya kuhudumia wanafunz mnaigeuza tume kuwa ya kibiashara na kuwatwisha wazazi/walez mizigo ya ada isiyo na msingi? U~app fee ilikuwa 30,000 mkaona haitoshi mkapandisha up to 50,000, juzi juz tena mmegundua njia ya kutuchuna mmeamua kuanzisha Quality Assurance fee ya tsh 20,000~ hii nayo sijui mmeona haitoshi mmeamua kuleta ada ya maombi ya uhamisho ya tsh 30,000. Kwa kazi gani ngumu mnayoifanya kuwazidi HESLB kias cha kuwa mnaanzisha fees kienyeji na zisizo na mpango kiasi hiki?
 
Tatizo cyo tcu... bali tatizo lipo kwa vyuo kwani huchelewesha kurudisha majina ya wanafunzi wa elimu ya juu...... tcu haiwezi kutoa majibu ya chuo kimojakimoja bali inahitaji majibu ya vyuo vyote ili kutoa ripoti ya ujumla

TCU wameanzisha utaratibu mpya wa kutoza ada kwa ajili ya maombi ya uhamisho kutoka chuo kimoja kwenda kingine. Hoja yangu ni hii: Inakuwaje ninyi tcu badala ya kuhudumia wanafunz mnaigeuza tume kuwa ya kibiashara na kuwatwisha wazazi/walez mizigo ya ada isiyo na msingi? U~app fee ilikuwa 30,000 mkaona haitoshi mkapandisha up to 50,000, juzi juz tena mmegundua njia ya kutuchuna mmeamua kuanzisha Quality Assurance fee ya tsh 20,000~ hii nayo sijui mmeona haitoshi mmeamua kuleta ada ya maombi ya uhamisho ya tsh 30,000. Kwa kazi gani ngumu mnayoifanya kuwazidi HESLB kias cha kuwa mnaanzisha fees kienyeji na zisizo na mpango kiasi hiki?
 
inasikitisha kuona hujui unachosema. fuatilia sio kukurupuka. na wewe boya unaetaka kuhama bure ukumbuke huu ni mwaka gan na je ukihama kienyeji halaf ukaambiwa hutambuliki lawama utampa nan? tumia akili usitumie viroba. shenziiii
 
hao wanao jiita tcu nawnyewe pia wana ukawa, bora ifutwe tu coz nw watu tumesha pitisha cku za kuripot vyuon
 
Hivi kwa wale wazoefu inakuwaje selection ya chuo imetoka tarehe 24/09/2014 taarifa ya chuo mnatakiwa kuriport tarehe 27/09/2014 swali kwa wale tunaotegemea mkopo majina hayajatolewa na bodi kama utapata au vipi hii imekaaje wakuuu???
 
inasikitisha kuona hujui unachosema. fuatilia sio kukurupuka. na wewe boya unaetaka kuhama bure ukumbuke huu ni mwaka gan na je ukihama kienyeji halaf ukaambiwa hutambuliki lawama utampa nan? tumia akili usitumie viroba. shenziiii

WEWE FARA TCU KUNA BABAAKO! Ushasikia uamisho unaada!
 
Tatizo cyo tcu... bali tatizo lipo kwa vyuo kwani huchelewesha kurudisha majina ya wanafunzi wa elimu ya juu...... tcu haiwezi kutoa majibu ya chuo kimojakimoja bali inahitaji majibu ya vyuo vyote ili kutoa ripoti ya ujumla

Mkuu ungeielewa maana ya CAS - CENTRAL ADMISSION SYSTEM. Mambo yote yanapaswa kuwa TCU - imagine umejaza vyuo 5 na huna uhakika chuo gani umechaguliwa - uanze kutembelea kila website ya hivyo vyuo - what a waste of time - 50,000/- zilikuwa za nini.

Msijaribu kutetea udhaifu katika umahili wa utendaji. Mfano mtu anafungua website ya UDSM anaona jina lake lakini akienda kwenye account yake na TCU anakuta SELECTION IN PROGRESS - imani iwe kwa UDSM au huyu niliyemlipa 50,000/- na bado anajikongoja na SELECTION IN PROGRESS!!
 
Mkuu hapo nimekusoma fresh.... inabidi hyo tcu ifungwe coz mm nahc ni mbinu tu ya kula kodi ya wanachi....
 
Back
Top Bottom