Mr.samba de man
Member
- Sep 4, 2013
- 55
- 7
Tatizo ni la TCU coz ndo ilikuwa na majina yote yaliyopitishwa na kila chuo juzi tarehe 22ktk mkutano uliofanyika Ubungo Plaza,kilichowafanya wasiyaachie majina hayo kama ilivyo utaratibu wa miaka yote ni nini hadi wawaachie zigo hilo wahusika wa vyuo??? hukumu hutolewa mahakamani na hakimu na c kurudishiwa kesi askari aliyemkamata mhalifu ili amhukumu huu ni udhaifu na ktk hili TCU wame prove failure ni jukumu lao kuachia majina sioni haja ya kuendelea kuwasafisha coz abadan asilan hawasafishiki...........!!!!!!!!!!!!!!!!! AIBU YAO:sleepy:Tatizo cyo tcu... bali tatizo lipo kwa vyuo kwani huchelewesha kurudisha majina ya wanafunzi wa elimu ya juu...... tcu haiwezi kutoa majibu ya chuo kimojakimoja bali inahitaji majibu ya vyuo vyote ili kutoa ripoti ya ujumla
TCU wameanzisha utaratibu mpya wa kutoza ada kwa ajili ya maombi ya uhamisho kutoka chuo kimoja kwenda kingine. Hoja yangu ni hii: Inakuwaje ninyi tcu badala ya kuhudumia wanafunz mnaigeuza tume kuwa ya kibiashara na kuwatwisha wazazi/walez mizigo ya ada isiyo na msingi? U~app fee ilikuwa 30,000 mkaona haitoshi mkapandisha up to 50,000, juzi juz tena mmegundua njia ya kutuchuna mmeamua kuanzisha Quality Assurance fee ya tsh 20,000~ hii nayo sijui mmeona haitoshi mmeamua kuleta ada ya maombi ya uhamisho ya tsh 30,000. Kwa kazi gani ngumu mnayoifanya kuwazidi HESLB kias cha kuwa mnaanzisha fees kienyeji na zisizo na mpango kiasi hiki?Kwa kweli mimi kama mdau wa elimu inaniuma sana ninapoona kuna tasisi kubwa kama tcu kushindwa kusimamia vyuo kama kweli ina mandate kwa nini isilazimishe vyuo ambavyo vimepewa majina ili vitangaze lakn mpaka leo hawajatangaza selection za degree mf Sua,mzumbe,n.k! La hasha! Mwanafunzi mfano anayetokea kazini aombe ruhusa lini ajiandae lini kwenda chuo? Hata huyu f6 ajiandae saa ngapi? Mi namalizia kwa kusema bora kila chuo kudahiri wanafunzi wake kuliko kuwa tcu ambayo msaada wake hatuoni!!
Sometimes mnailaumu bure TCU kwann msiwalaumu waliohalalisha mitihani ya A LEVEL kufanyika Mwezi May. ..jaribuni ku trace the source of the problem
Hapo A level examinations ingekuwa February ingekuwa selection zimetoka hata early of September bila kurupushani hiyo amabayo ipo...sio kuishutumu TCU
Tatizo cyo tcu... bali tatizo lipo kwa vyuo kwani huchelewesha kurudisha majina ya wanafunzi wa elimu ya juu...... tcu haiwezi kutoa majibu ya chuo kimojakimoja bali inahitaji majibu ya vyuo vyote ili kutoa ripoti ya ujumla
inasikitisha kuona hujui unachosema. fuatilia sio kukurupuka. na wewe boya unaetaka kuhama bure ukumbuke huu ni mwaka gan na je ukihama kienyeji halaf ukaambiwa hutambuliki lawama utampa nan? tumia akili usitumie viroba. shenziiii
Tatizo cyo tcu... bali tatizo lipo kwa vyuo kwani huchelewesha kurudisha majina ya wanafunzi wa elimu ya juu...... tcu haiwezi kutoa majibu ya chuo kimojakimoja bali inahitaji majibu ya vyuo vyote ili kutoa ripoti ya ujumla