Majina yametoka NACTE kwa wale waliokosa first batch

Majina yametoka NACTE kwa wale waliokosa first batch

Kwani kuna maombi mengine ambayo yametumwa tena ya ualimu maana sina laha kabisa make nlipata dvion 4, 26 nlifanya masomo 9 yaan saync na arts nlipata maxomo 8 D flal na B ya kiswahili sasa cjui kama watanipa nafasi ua ??!!!
 
Jaman me jina langu nimeliona na nikawaemail nacte waniambie sijakamilishakitu gan?wakanijibu kuwa kuna technical problem inaonekana nimejiregister mara mbili ila acc moja imekamilika haina shida,wakati mimi sikuwah kujiregister mara mbili,nashindwa kuelewa km nitakua kwenye sec round au ndio mwaka huu basi tena...maana kwa jibu hilo nashindwa niguse wapi kwenye profile yangu
 
Aliyepo hapa anisaidie mawazo maana simu za nacte zimekua lulu hawapokei inaita hadi inakata kwa tatizo langu hilo hapo juu
 
guys samahani naomba kidogo mnisaidie kwa hili ningependa kuuliza hivi mpk sasa nyie wanzangu profile zenu zinasoma vp coz mi yangu still on cheking progress na jina langu halijatoka kwenye haya majina ya wanaotakiwa kuapply second round is it hvyo kwa watu wote au ni kwangu peke yangu ?
 
Bwana Mkubwa kama jinalako halijatoka ufanye second round application ujue umechaguliwa course mojawapo ya hizo ulizoomba so subiri on Monday utajua kilakitu. Mkuu
 
NA mimi YANGU KWA CHINI YA MY PROFILE WAMEANDIKA DEAR .................PLEASE STAY CALM WHILE THE SYSTEM IS STILL IN PROGRESS.

LAKINI PIA JINA LANGU ALIJAONEKANA KWA WALE 1417 WANAOTAKIWA KUOMBA TENA.

TUSUBILI KIAMA ON MONDAY
 
Jaman me jina langu nimeliona na nikawaemail nacte waniambie sijakamilishakitu gan?wakanijibu kuwa kuna technical problem inaonekana nimejiregister mara mbili ila acc moja imekamilika haina shida,wakati mimi sikuwah kujiregister mara mbili,nashindwa kuelewa km nitakua kwenye sec round au ndio mwaka huu basi tena...maana kwa jibu hilo nashindwa niguse wapi kwenye profile yangu

Nakusaidia, Hayo majina yaliyotoka si kwamba wanatakiwa waombe 2nd round, hao ni watu ambao hawakukamilisha usajili wao wamea aplly wameishia katikati hawajachagua kozi wa vyuo.
Ndio wanahimiza wakamilishe hao watu 1400 naa.

Kuhusu walikosea kufanya machaguo Au hawana sifa Au wenye gpa ndogo na wamejaza chuo vyenye ushindani mkubwa, wamesoma dip za arts na B.a wamejaza science pamoja na makosa mengine mengi hao ni watu 1500 na zaidi hao watatakiwa kuomba 2nd round hao majina yao yatatoka tar 22 pamoja na waliopata vyuo 1st batch.
 
Back
Top Bottom