Majina yanayoanza na herufi T yana nuksi !!

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Haya majina yanayoanzia na herufi '' T '' sijui yana nuksi gani??
TIGO - Mtandao m'bovu kushinda yote duniani
TFF - (Mpira wa miguu) Chama cha soka kilichojaa rushwa mpaka kero
TANESCO - Hawa wakiamua tu wanatuweka gizani time yoyote
TBC ~~(T.V station) Hawa leo ndo wamebugi kabisaa,yani badala ya kuonyesha mechi ya timu ya taifa (Taifa stars)!!eti wao iwanaonyesha Maudodo!! majanga haya!!
TTCL- shirika lenye huduma mbovu kabisa
Tanzania- Nchi ilojaa utajiri lakini watu wake masikini sana
Tanga- Sijui kulinani. Wanaume wanashikishwa ukuta
Tabora-mkoa hauna maendeleo hata kidogo
Taleban: miaka yote wao vita tu
Torabora: Haya ndio maficho ya magaidi
 
Kwa hiyo mimi Tina.......nina mkosi......? Boflo tusitakane ubaya..........
 
Last edited by a moderator:
Kuna mdada mmoja jirani yangu ...anaitwa Tusekele...mcharuko balaa!!!
 
Hata dhambi nyingi zinaanza na T
To....a
Ti....a
Ta...o
 

tandale tua ngoma tanga tandahimba kama kweli vile..
 
TUNTEMEKE huyu jamaa kaamua mwenyewe kubebesha tambara la kuisafisha çcm na uchafu anaosafishia ccm kuupaka pale biafra makao makuu. We mwanzisha thread utakuja uwe mganga wa kienyeji! Nimekukubali.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…