Majina yanayobeba mengine

Majina yanayobeba mengine

1. Mfano sheli (kampuni ya mafuta).Ziko Total, Lake oil, BP, etc. (Niache hapo sheli)
2. Bajaji. ziko tvs, etc
3. Ongeza. Mi nimeishiwa



4MARAISI Kuna mzee wa ujamaa na kujtegemea, mzee wa rukhsa, mzee wa ukweli na uwazi, mzee wa maisha bora kwa kila mtanzania na huyu MTUMBUA MAJIPU
 
Kingunge - viongozi wa ngazi za Juu TZ enzi hizo hajaishiwa pumzi
 
Bia / beer =Kuna:- (bingwa, castle, safari, kilimanjaro, serengeti n.k)
 
Scania badala ya truck wakati kuna Iveco, Benz,Tata,Isuzu, Hyundai, Genoto, Otoka, Kamaz na mengineyo mengi
 
Kuna puli, nyeto, punyeto, kujichua, malidhia bathi.
 
uswahilini kuna manzese, tandika, buguruni, tandale, mabatini..nk
 
Back
Top Bottom