Majina yanayoongoza kuwa na IQ kubwa hapa JamiiForums

'Tafiti' ndio kitu gani au ulimaanisha 'utafiti' kama umemaanisha utafiti basi rekebisha hilo bandiko weye unaejiita una IQ kubwa
 
hum jamvini nawaelewa zaidi watu wafuatao;

1. humble African (kama jina sijalikosea)
2.BAK
3.Deadboy
4. Da'vinc
na wengine wengi. hao sijui Jr labda tufanye kinyume chake
 
Awe mwali kamlongele mwali mwanamwali mwali
 
kwa huo utafiti wako, unanikumbusha usemi wa Mzee Lowasa kuwa tatizo la watanzania walio wengi ni - Elimu...Elimu...Elimu!!!!
Na hao wachache wenye elimu ndo wametufikisha hapa tulipo...
 
Kipimo chako cha Kupimia IQ ni Jr...Ngoja Wajee wakaguzii watuthibitishie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…