Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha haha haaKisandu jr nae ana iq kubwa??
imenibidi nicheke tuShenz wewe
Kinachokera zaidi ni kuwa dogo ndo kamaliza Form 4 na hana kazi ya kufanya kwahio anapoteza muda kwa kufungua thread za makalio[emoji35] [emoji35] [emoji35]
ha haha Haa"" kumbe mwizi huyu ""!!!?Umepigwa chini ISON BPO
Ahaaaaaa teh teh tehHongera sana. Unajitekenya na kucheka wewe mwenyewe!
Kweli kabisa maana anatatzo la genyee.....huyu anajitia kidole kisha ananusaa !
mkuu wewe ndio utakuwa Jr wa kwanza mwenye IQ ndogo ndio maana wanakuandamaNashangaa mods wanasepa na siredi yangu ya 3 hiyo
Na hao wachache wenye elimu ndo wametufikisha hapa tulipo...kwa huo utafiti wako, unanikumbusha usemi wa Mzee Lowasa kuwa tatizo la watanzania walio wengi ni - Elimu...Elimu...Elimu!!!!