Majina yEnye utata

Majina yEnye utata

Ben Jack

Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
66
Reaction score
5
Daah kunamajina yanautataa kama
Mwaitako
Mwasapumbu
Mwanakicheche
Mwananguu#Taja jina la ambalo linautata
 
Hatujuani Lucas Mkuu Wa Wilaya Morogoro (V)
 
Yaaan wakuu Inaonyesha Mbeya Ndo Wanamajina Mabaya Tz nzima Maanake kila Raia humu anakomenti mara Sijui "Mwai nin" mwingine "Mwaikairuki"
Mwishowe Mtasema na Mwaikibaki Ni Mnyakiusya.
 
Back
Top Bottom