- Thread starter
- #21
Ubarikiwe 🙏Wewe ni iron dome yangu unanilinda
Mpambanaji wangu Kwa kuwa umenipigania
Mzazi wangu ,umenilea
Mlinzi wangu umenilinda na kifo na magonjwa
Daktari wangu umenitibu kabla ya kuugua
Mtetezi wangu umenitetea
Mnyunyizi wangu umeninyunyizia amani ya moyo
MAJINA MAZURI NI YAKO
Amen
USSR