R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Dec 21, 2023 Thread starter #21 USSR said: Wewe ni iron dome yangu unanilinda Mpambanaji wangu Kwa kuwa umenipigania Mzazi wangu ,umenilea Mlinzi wangu umenilinda na kifo na magonjwa Daktari wangu umenitibu kabla ya kuugua Mtetezi wangu umenitetea Mnyunyizi wangu umeninyunyizia amani ya moyo MAJINA MAZURI NI YAKO Amen USSR Click to expand... Ubarikiwe ๐
USSR said: Wewe ni iron dome yangu unanilinda Mpambanaji wangu Kwa kuwa umenipigania Mzazi wangu ,umenilea Mlinzi wangu umenilinda na kifo na magonjwa Daktari wangu umenitibu kabla ya kuugua Mtetezi wangu umenitetea Mnyunyizi wangu umeninyunyizia amani ya moyo MAJINA MAZURI NI YAKO Amen USSR Click to expand... Ubarikiwe ๐
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Dec 21, 2023 Thread starter #22 Baraka utoazo Yesu ni njema. Hazina majuto. Ukimbariki mwanadamu, AMEBARIKIWA Kweli Kweli. Ukimfungua mfungwa, amefunguliwa Kweli Kweli. Yesu wewe ni MWENYE HAKI. Umejivika Utukufu na Utakatifu, Limebarikiwa Jina lako, Amen
Baraka utoazo Yesu ni njema. Hazina majuto. Ukimbariki mwanadamu, AMEBARIKIWA Kweli Kweli. Ukimfungua mfungwa, amefunguliwa Kweli Kweli. Yesu wewe ni MWENYE HAKI. Umejivika Utukufu na Utakatifu, Limebarikiwa Jina lako, Amen
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Dec 22, 2023 Thread starter #23 .
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Dec 31, 2023 Thread starter #24 Tangulia mbele yangu Dr BWAWA 2024.๐น๐ฟ Libarikiwe Jina lako EE YESU.๐