Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
soma kuhusu sayansi ya majini kama unataka kuulewa uislamu vizuri, majini yanatambulika hata na kitabu kitukufu cha uislamu Kuran.
waislamu wanaamini kabisa uwepo wa majini kama ulishawahi kuishi na wanao practice uislamu utakuwa ulishuhudia vitu na mambo ya ajabu kuhusu majini.
Kuamini uwepo wa Majini is the elephant in the room, inaelezea why so much suffering and sadism exists, why mauaji ya albino na kuchukuwa viungo, why no umeme wakati hakuna sababu yoyote ya msingi inayoelezwa na kueleweka, kwanza walisema wanatengeneza mitambo, muda ukapita wakahamia kwenye ukame, mvua zimenyesha wanasema maji hayafiki kwenye vyanzo uongo mweupe huku mateso yakiendelea, no explanation for that isipokuwa imani ya uwepo wa majini …
en.m.wikipedia.org