Ulimuona fei toto tu vipi boko alishindwa nini kufunga? Au alikuwa anacheza fei peke yake uwanjani siku iyo? Kama ni ivyo iyo mizigo yenu isiwe inaitwa timu ya taifa basi kama mmebaki kusubilia fei toto ndo awafungie magoliMbona timu ya Taifa huwa hatuuoni ubora wa Feitoto?
Na anaogopa kucheza vilabu vya nje au ana mkataba nayo akiwa yanga tu?