Majini ya Feitoto huwa hayamsaidii akicheza Timu ya Taifa?

Majini ya Feitoto huwa hayamsaidii akicheza Timu ya Taifa?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Mbona timu ya Taifa huwa hatuuoni ubora wa Feitoto?
Na anaogopa kucheza vilabu vya nje au ana mkataba nayo akiwa yanga tu?
 
Kweli u mbumbumbu ni mzigo, Mbona Fei toto alishawahi kufunga goli kama alivyo funga Leo akiwa na timuya Taifa. Kwasasa anachofanya ni mwendelezo tu.
 
Bongo bwana
Ukiwa na hela unaitwa freemason
Yanga ikishinda unaambiwa bahasha
Fei akifunga unaambiwa ana majini

Kila jambo mnatafutia sababu tu.
 
Mbona timu ya Taifa huwa hatuuoni ubora wa Feitoto?
Na anaogopa kucheza vilabu vya nje au ana mkataba nayo akiwa yanga tu?
Ulimuona fei toto tu vipi boko alishindwa nini kufunga? Au alikuwa anacheza fei peke yake uwanjani siku iyo? Kama ni ivyo iyo mizigo yenu isiwe inaitwa timu ya taifa basi kama mmebaki kusubilia fei toto ndo awafungie magoli
 
Back
Top Bottom