Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 5,445
- 14,828
Habari za jioni wanajamii wote natumai mu wazima wa afya tele! Nakwawale ambao sio wazima wa afya MUNGU awajaalie mrejee katika afya zenu haraka!
Nina mpenzi wangu tuko naye kwenye mahusiano huu mwaka wa 2, ila shida kila tukiwa tunazagamuana majini yanampanda kichwani na mara aanze kunikaba mara anipige na saa nyingine hata kuunguruma kama simba. Kwakweli hii hali imekuwa ikijirudia mara kwa mara.
Mbaya zaidi hapa juzi juzi tukiwa tunaburudika chumbani yalimpanda na kuanza kuunguruma huku akining'ata na kunishushia kipigo, hadi ikapelekea kukimbia uchi chumbani kutafta msaada! Kama kuna mtaalam wa haya mambo naombeni anisaidie jamani nampenda sana.
Matatizo haya usiombe yakukute. 😞😞 Sipo vizuri kisaikolojia kumwacha cwezi cjui nifanyeje! Nimezunguka sana kutafta msaada ila imebuma mara ya mwisho nilipewa dawa niwe naoga nazo na yeye aoge nazo lakini naona kama ndio imezidi.