Mtoboa siri
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 214
- 804
Huyo ni Shetani na mpenzi wako ni Kiti(ndivyo wanavyoita vile shetani akiwa ndani ya binadamu.Habari za jioni wanajamii wote natumai mu wazima wa afya tele! Nakwawale ambao sio wazima wa afya MUNGU awajaalie mrejee katika afya zenu haraka!
Nina mpenzi wangu tuko naye kwenye mahusiano huu mwaka wa 2, ila shida kila tukiwa tunazagamuana majini yanampanda kichwani na mara aanze kunikaba mara anipige na saa nyingine hata kuunguruma kama simba. Kwakweli hii hali imekuwa ikijirudia mara kwa mara. Mbaya zaidi hapa juzi juzi tukiwa tunaburudika chumbani yalimpanda na kuanza kuunguruma huku akining'ata na kunishushia kipigo, hadi ikapelekea kukimbia uchi chumbani kutafta msaada! Kama kuna mtaalam wa haya mambo naombeni anisaidie jamani nampenda sana. Matatizo haya usiombe yakukute. [emoji20][emoji20] Sipo vizuri kisaikolojia kumwacha cwezi cjui nifanyeje! Nimezunguka sana kutafta msaada ila imebuma mara ya mwisho nilipewa dawa niwe naoga nazo na yeye aoge nazo lakini naona kama ndio imezidi.
Tatizo dogo sana hilo huyo shetani kutakuwa na vitu anataka afanye au kuna masharti anatakiwa afanye huyo mpenzi wako ili hayafanyi aiza hajui au anafanya makusudi.
Fanya hivi, mpeleke kwa mtaalam wa kutumia kitabu atachomewa ubani huyo Shetani atapandisha na kusema masharti yote anayotaka. Akishatimiziwa basi apandishi tena mpaka ahitaji vitu vingine au kiti wake(mpenzi wako akienda tofauti na masharti yake.
Kwanini apandishe wakati mnanyanduana?? Jibu langu kwa mtazamo wangu ni kuwa labda huyo Shetani hataki Kiti wake afanye mapenzi kabla ya Ndoa, na kama umemuoa basi dini zenu ni tofauti na kama mpo dini moja kuna vitu wewe unafanya kabla ya kumnyandua mpenzi wako Shetani havitaki mfano unachepuka au unakunywa pombe kabla ya Show.
Na mkitaka kumuondoa huyo Shetani wapo wataalam wa kuwaondoa lakini mara nyingi huwa wanarudi kwa Kiti wake wachache sana ndio huwa hawarudi.