Majini yanampanda kichwani kila tukiwa katikati ya mizagumuano!

Huyo ni Shetani na mpenzi wako ni Kiti(ndivyo wanavyoita vile shetani akiwa ndani ya binadamu.
Tatizo dogo sana hilo huyo shetani kutakuwa na vitu anataka afanye au kuna masharti anatakiwa afanye huyo mpenzi wako ili hayafanyi aiza hajui au anafanya makusudi.
Fanya hivi, mpeleke kwa mtaalam wa kutumia kitabu atachomewa ubani huyo Shetani atapandisha na kusema masharti yote anayotaka. Akishatimiziwa basi apandishi tena mpaka ahitaji vitu vingine au kiti wake(mpenzi wako akienda tofauti na masharti yake.
Kwanini apandishe wakati mnanyanduana?? Jibu langu kwa mtazamo wangu ni kuwa labda huyo Shetani hataki Kiti wake afanye mapenzi kabla ya Ndoa, na kama umemuoa basi dini zenu ni tofauti na kama mpo dini moja kuna vitu wewe unafanya kabla ya kumnyandua mpenzi wako Shetani havitaki mfano unachepuka au unakunywa pombe kabla ya Show.
Na mkitaka kumuondoa huyo Shetani wapo wataalam wa kuwaondoa lakini mara nyingi huwa wanarudi kwa Kiti wake wachache sana ndio huwa hawarudi.
 
Huyatombi vizuri majini ndio maana yanakasirika
 
Duh! Lovelovie we huko lodge ulikuwa unafanya nini?
 
Nimeshaenda kwa wataalamu wa dawa za kisuna ila bdo kuna unaye mfahamu mkuu?
 
Nitafute kwa muda wako
 
Si kila Kinachompanda mtuKichwani ni Majini. Kuna Mizuka.marubani. na mizimu
 
daaah kwa shauri hizo bado utateseka sana na kwanza huo ni mwanzo tu...
.
lkn hapo ndo nazidi kuelewa kweli YESU ni zaidi ya miungo yote, bos hilo tatizo ni dgo sana km chembe ya ukucha tu ila hujajikana nafsi
 
Kaa chonjo.., utakuja kuliwa tukukose, shauri zako ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…