Majipu yananiandama nini tatizo?

Majipu yananiandama nini tatizo?

Monomer

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2023
Posts
214
Reaction score
358
Madaktari wa binadamu na watalaamu wote wa afya kwa ujumla mlioko humu ndani,naombeni ushauri wa tatizo langu linalo nisumbua kijana wenu.

Miezi ya mwanzoni ya mwaka huu 2024 majipu yalitokea kunisumbua nikawa kila nikilitumbua linahamia kwingine hadi pale nilipostuka na kwenda kuchoma sindano zahanati ya kalibu.Hapo yakapotea lakini cha ajabu saivi naona yanarudi tena ninalo kifuani limeuma nimekaza mpaka limetoa usaha lenyewe.Lakini pia kila nikiangalia naona kabisa kama limehamia pembeni kidogo pia kichwani kumejaa vipele mithili ya majipu.

Kwahivyo naombeni ushauri kama haya madude yanatokana labda na mtindo flani wa maisha,vyakula,unene,sex sana au sababu yoyote basi nipunguze na kama kuna tiba ya kumaliza kabisa tatizo hilo niambiwe kwa sababu majipu yanisumbue,vipele chini ya kisogo pia vinisumbue yani ni tatizo juu ya tatizo.

N.B Mimi sio mtu wa michepuko nimetulia na mke wangu.
 
Kapime virusi vya Ukimwi kapime full blood picture yaani kifupi needa hospital ya kueleweka uandikiwe vipimo tofauti wajue shida nini una infection kwenye damu au mzio au shida nyingine.
 
Sawa lakini kwa ukimwi sina
 
Madaktari wa binadamu na watalaamu wote wa afya kwa ujumla mlioko humu ndani,naombeni ushauri wa tatizo langu linalo nisumbua kijana wenu.

Miezi ya mwanzoni ya mwaka huu 2024 majipu yalitokea kunisumbua nikawa kila nikilitumbua linahamia kwingine hadi pale nilipostuka na kwenda kuchoma sindano zahanati ya kalibu.Hapo yakapotea lakini cha ajabu saivi naona yanarudi tena ninalo kifuani limeuma nimekaza mpaka limetoa usaha lenyewe.Lakini pia kila nikiangalia naona kabisa kama limehamia pembeni kidogo pia kichwani kumejaa vipele mithili ya majipu.

Kwahivyo naombeni ushauri kama haya madude yanatokana labda na mtindo flani wa maisha,vyakula,unene,sex sana au sababu yoyote basi nipunguze na kama kuna tiba ya kumaliza kabisa tatizo hilo niambiwe kwa sababu majipu yanisumbue,vipele chini ya kisogo pia vinisumbue yani ni tatizo juu ya tatizo.

N.B Mimi sio mtu wa michepuko nimetulia na mke wangu.
Umeshawahi kucheki mzio (Allergy)
 
Back
Top Bottom