Majipu

Majipu

nyabaheta

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
247
Reaction score
82
Habari wadau
Naomba msaada wa ushauri,nina mtoto wa mwaka mmoja na nusu,tangu jana ameanza kutoka majipu sehemu mbalimbali mwilini,hivi nini chanzo cha majipu,na kuna dawa ya kuyaondoa pasipo kukamua,ni dawa gani hiyo?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Na mimi pia mtoto wangunwa mwaka mmoja na nusu ametoka majipu kuanzia wiki mbili zilizopita. Nafikiri hii inasababishwa na kipindi cha joto ambacho tunacho sasa hivi.

Wacha tuache doctors waje watupe medical explanation.
 
Inawezekana,cuz kuna rafiki yangu na yeye mtoto wake amepata jipu.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom