Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
Ni ukweli usiopingika ,achilia mbali mahaba tuliyonayo ,maana kila binadamu ana chaguo lake ,pro NATO na pro Russia wote wana haki ya kuwa na mahaba ,kwa kadri ya ufahamu na mitazamo ya namna mbalimbali.
Ila sasa wakuu hii vita tuambiane ukweli tuu majira ya baridi ndiyo yatatoa matokeo halisi ,nasema hivi kwa sababu zifuatazo.
Mataifa ya magharibi yanategemea wese la Russia kwa slasilimia 55%,gessi 40%,mbolea 38% ,ngano 18%,pia kibiashara wanaingiliana ambapo mzunguko wa biashara kati ya hizi nchi ni mkubwa.
Russia kwa upande wake karibu nusu ya pato lake anapata kutokana na kuuza gesi ,wese, mbolea na ngano barani ulaya na anapiga hela nzuri ya maana kuliko kutuuzia sisi nchi ambazo ndio tunapambana kujikwamua kiuchumi.
Hivyo changamoto kubwa kipindi cha majira ya baridi ni kuwa Russia anaweza kususia kuuza gesi na wese maana kwamba na yeye ameahawekewa vikwazo vya kununua technology yoyote toka west.
Kimwonekano inaonekana ni jambo jepes ila naye Russia atapata pigo la kiuchumi sana, ukizingatia bado yuko kwenye vikwazo na vita iko mbele yake.
Kwa west nao hali haitakua rahisi, kwani nao watapata pigo kubwa la uzalishaji na pato la nje litashuka.
Nachoona hapa winter ndio refaree wa huu mtanange ,haijalishi wote wamejiandaa vipi ila maandaliazi mazuri siyo sababu ya kupata matokeo chanya.
Maana west wanavyofikir akiba itawatosha ya gesi na mafuta waliyojiwekea,kiukweli mambo yanaweza kubadilika.
Even Russia kwa kutegemea kupata soko nje ya west ambalo litakua mbadala ,mambo yanaweza yasiende anavyotaka ,hivyo matokeo ya hii vita tujiandae kisaikolojia tutashuhudia mambo meng kipindi cha winter.