Majira ya baridi ndiyo yataamua hatma ya vita ya Ukraine

Uko sahihi kabisa uchambuzi wako Ila naamini wataalamu WA uchumi na maswala ya Vita toka nchi za ulaya wanajua hili vema.wanaona mbali Sana.
 
Wewe unaona hapo nani ana kete ya ushindi?
 

Russia kupata soko la jipya is Not that simple.
kwani itabidi uwashawishi watumiaji wa bidhaa zake dhidi ya bidhaa nyingine toka kwa nchi nyingine. ushindani wa kibiashara
so Russia itamlazimu kuuza kwa ubwelelee mkubwa kuvutia mikataba ya kibiashara jumlisha gharama za uzalishaji wa bidhaa hizo. ukumbike kua hata wateja wapya wa bidhaa za rusia wananunua ili tu kama kumuonea huruma.
Na russia hana bidhaa unique kwamba anazalisha peke ake.
itamlazimu kupambana na washirika wa OPEC na hatoweza kuingilia masoko yao
hata hao watakao muunga mkono Rusia
kuna kikwazo cha Swift.

Logically Rusia apende asipende lazima gesi na mafuta apeleke ulaya.
akikaidi atakua finished completely
 
Muda mwalimu mzuri sanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…