Mbona page nzima imejaa picha za harusi? Au ndo hicho inachotaka?
<br />Toka kaka Benoo aoe hachangii kitu humu JF zaidi ya maswala ya harusi. endelea kupiga kampeni tuongeze members kwenye chama letu.
Benooo. Yaani kutolewa picha ya harusi gazetini ndio unawaweka watu roho juu kujua ni breaking news gani? Lakini safi, ndoa inapaswa iwe hivyo si kuficha pete.
Nimeamini wasoma magezeti ni wachache mno!!!
Nimeamini wasoma magezeti ni wachache mno!!!