Majira ya leo imevunja ukimya

Majira ya leo imevunja ukimya

Mbona page nzima imejaa picha za harusi? Au ndo hicho inachotaka?
 
Benooo. Yaani kutolewa picha ya harusi gazetini ndio unawaweka watu roho juu kujua ni breaking news gani? Lakini safi, ndoa inapaswa iwe hivyo si kuficha pete.
 
Toka kaka Benoo aoe hachangii kitu humu JF zaidi ya maswala ya harusi. endelea kupiga kampeni tuongeze members kwenye chama letu.
 
<br />
<br />
Ha ha ha nilihisi kitu km hiki laahk Benno una mambo afadhali mmetufahamisha tulio ushagoo
 
Benooo. Yaani kutolewa picha ya harusi gazetini ndio unawaweka watu roho juu kujua ni breaking news gani? Lakini safi, ndoa inapaswa iwe hivyo si kuficha pete.

Hahahhahaha....mshkaji mjanja kweli....kumbe ananadi harusi yake!!!
Haya Benno asante kwa kutukumbusha tena kwamba umeachana na ukapera!HONGERA!
 
Nimeamini wasoma magezeti ni wachache mno!!!
 
Back
Top Bottom