Hivi majirani, hawa viongozi Wenu wanatia aibu. Naamini kuwa maamuzi ya kuwakamata wale wanahabari wa Kenya na SA hayakufanywa na viongozi wa vyeo vya chini. Kuongezea, ule upumbavu wa kutumia twitter account yake na kudanganya eti ameshaachilwa, ilifaa ifanywe na watu wa ngazi za juu.
Jambo ambalo silielewi ni: Walikuwa na nia gani ndiposa wakatumia twitter handle na kueneza uongo kuhusu kuachiliwa kwa wahabari hao? Je, Walitaka kuwafanyia jinsi vile Saudi Arabia ilivyomfanyia Khashoggi?
Kwanini walitumia viafisa ambao hata kiingereza hawakielewi? Au hao wakubwa ni bongo lala? Hebu soma tweet hii ujiulize ikiwa yaweza kutoka kwa mtu ambaye ni native speaker wa kiingereza:
Yeyote mwenye akili atajua kuwa hii si tweet ya mwanahabari ambaye ameandika vitabu katika lugha ya kiingereza. "We are released"ni direct translation ya neno "tumeachiliwa".
Tweet sahihi ingekuwa. "God is great. We have been released and we're heading back to our hotel."
"Going back to our hotel" Linatumiwa kwa nadra sana na native speakers.
Tweet hii ni sawa na kusoma ujumbe kutoka kwa mwanahabari na mwandishi wa vitabu wa Tanzania unaosema: "Mungu ni mwema tumeachanwa tunaenda kwa hoteli yetu"
Kisha hawa wazungu hawapendi sana mambo ya Mungu kama sisi wafrika unless ni Mkristo kamili. Naamini aliyeandika haya ni muislamu ambaye katika bongo Zake alikuwa anasema "Alḥamdulillāh" .
Je, hawa watu hawaelewi kuwa wataiweka Tanzania pabaya? Hivi hawa makachero ni wajinga kiasi gani?