Majirani Karibu Wajipate Kwa Khashoggi Moment: Pumba Waandika Tweet Kwenye Account Ya Mwanahabari Kwa Kiingereza Kibovu

MwendaOmo

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2013
Posts
774
Reaction score
723
Hivi majirani, hawa viongozi Wenu wanatia aibu. Naamini kuwa maamuzi ya kuwakamata wale wanahabari wa Kenya na SA hayakufanywa na viongozi wa vyeo vya chini. Kuongezea, ule upumbavu wa kutumia twitter account yake na kudanganya eti ameshaachilwa, ilifaa ifanywe na watu wa ngazi za juu.

Jambo ambalo silielewi ni: Walikuwa na nia gani ndiposa wakatumia twitter handle na kueneza uongo kuhusu kuachiliwa kwa wahabari hao? Je, Walitaka kuwafanyia jinsi vile Saudi Arabia ilivyomfanyia Khashoggi?

Kwanini walitumia viafisa ambao hata kiingereza hawakielewi? Au hao wakubwa ni bongo lala? Hebu soma tweet hii ujiulize ikiwa yaweza kutoka kwa mtu ambaye ni native speaker wa kiingereza:

tweet-png.925355

Yeyote mwenye akili atajua kuwa hii si tweet ya mwanahabari ambaye ameandika vitabu katika lugha ya kiingereza. "We are released"ni direct translation ya neno "tumeachiliwa".

Tweet sahihi ingekuwa. "God is great. We have been released and we're heading back to our hotel."
"Going back to our hotel" Linatumiwa kwa nadra sana na native speakers.

Tweet hii ni sawa na kusoma ujumbe kutoka kwa mwanahabari na mwandishi wa vitabu wa Tanzania unaosema: "Mungu ni mwema tumeachanwa tunaenda kwa hoteli yetu"

Kisha hawa wazungu hawapendi sana mambo ya Mungu kama sisi wafrika unless ni Mkristo kamili. Naamini aliyeandika haya ni muislamu ambaye katika bongo Zake alikuwa anasema "Alḥamdulillāh" .

Je, hawa watu hawaelewi kuwa wataiweka Tanzania pabaya? Hivi hawa makachero ni wajinga kiasi gani?
 
Hadhi ya tz kimataifa inazidi kushuka kila uchao! The country is decending into a pariah state...Ya nini kuwakamata hao wanahabari in the first place? Waache waandike story zao and disregard the content, huku nchini Kenyatta husema gazeti ni ya kufungia nyama, yaani ww soma habari humo kama ni za kweli sawa kama ni pumba tupa kulee....
Ohh na mjifunze kiengereza jameni mnaibika nyieee..
 
Hahaha 😂😂😂😂. Wabongo bwana. 'sisi hatuwashobokei wazungu'.
 
Were released [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hehehe halafu hao wanahabari walitumwa na shirika la wanahabari duniani kutathmini uhuru wa vyombo vya habari, yaani wakapata jibu sahihi wenyewe hata bila kuhangaika.
Wanahabari wa Tanzania hupitia mateso sana na ndio maana huwa vigumu kusikia visa vya Tanzania, imekua kama Korea Kaskazini, wanahabari wanalazimika kuimba pambio za kusifu utawala.
Kama nilivyosema kwenye uzi mwengine, huyo Mkenya pona yake ni kwamba kakamatwa akiwa na mzungu, ingekua mweusi mwenzake wangenyea debe kwa muda mrefu au hata kutokomezwa na watu wasiojulikana.
Kuhusika kwa mzungu tena kaburu wa SA kuliwababaisha Watanzania maana walipigiwa makelele na dunia.
Matukio kama haya hutukumbusha historia ya wapi nchi yetu ilikua enzi zilee za chama dhalimu cha KANU.
 
We are released.msitulazimishe kuramba mdhungu matako. Kuongea na kuandika kiingereza ni kumramba mzungu matako. Mtukome nyie wakenya
 
Hehehe halafu hao wanahabari walitumwa na shirika la wanahabari duniani kutathmini uhuru wa vyombo vya habari, yaani wakapata jibu sahihi wenyewe hata bila kuhangaika.
Wanahabari wa Tanzania hupitia mateso sana na ndio maana huwa vigumu kusikia visa vya Tanzania, imekua kama Korea Kaskazini, wanahabari wanalazimika kuimba pambio za kusifu utawala.
Kama nilivyosema kwenye uzi mwengine, huyo Mkenya pona yake ni kwamba kakamatwa akiwa na mzungu, ingekua mweusi mwenzake wangenyea debe kwa muda mrefu au hata kutokomezwa na watu wasiojulikana.
Kuhusika kwa mzungu tena kaburu wa SA kuliwababaisha Watanzania maana walipigiwa makelele na dunia.
Matukio kama haya hutukumbusha historia ya wapi nchi yetu ilikua enzi zilee za chama dhalimu cha KANU.

Hahaha. Hata mie nilipoona mzungu, nilijua tu wataachiliwa. Ingawa wakati mwingine hizi NGOs huwa na ujinga mwingi, hao maafisa wa TZ wana strategy za kijinga sana. Yaani naamini hao makechero walijiona FBI wa movie walipokuwa wakiandika "We are released."

Jinsi hawa jamaa washapenda kujipendekeza kwa "Mheshimiwa Rais", naamini hata wanaweza kumuua journalist na kisha kuitia TZ motoni.
 
Hehehe halafu hao wanahabari walitumwa na shirika la wanahabari duniani kutathmini uhuru wa vyombo vya habari, yaani wakapata jibu sahihi wenyewe hata bila kuhangaika.
Wanahabari wa Tanzania hupitia mateso sana na ndio maana huwa vigumu kusikia visa vya Tanzania, imekua kama Korea Kaskazini, wanahabari wanalazimika kuimba pambio za kusifu utawala.
Kama nilivyosema kwenye uzi mwengine, huyo Mkenya pona yake ni kwamba kakamatwa akiwa na mzungu, ingekua mweusi mwenzake wangenyea debe kwa muda mrefu au hata kutokomezwa na watu wasiojulikana.
Kuhusika kwa mzungu tena kaburu wa SA kuliwababaisha Watanzania maana walipigiwa makelele na dunia.
Matukio kama haya hutukumbusha historia ya wapi nchi yetu ilikua enzi zilee za chama dhalimu cha KANU.
.
FB_IMG_1541745201242.jpeg
 
Napendekeza RASI SIMBA
Ahamishie mizimu yake hapo idara ya polisi nasikia yeye siku tatu tu unatema kithungu kama cha mtoto wa malikia pale uingereza..
Nadhani ni mda sasa wa kuamishia kambi hapo.. Wadau..

Isiwe kigezo cha vyeti feki!! Hivi Kamanda sirro tukimpa debate na katoto ka kindergarten pale tanganyika international school. Dakika tatu tu kweli atetemaa vyemaaa.. 😂
Anyway. 😂
Tanzania ya viwonder.. 😂😂😂
 
Hehehe halafu hao wanahabari walitumwa na shirika la wanahabari duniani kutathmini uhuru wa vyombo vya habari, yaani wakapata jibu sahihi wenyewe hata bila kuhangaika.
Wanahabari wa Tanzania hupitia mateso sana na ndio maana huwa vigumu kusikia visa vya Tanzania, imekua kama Korea Kaskazini, wanahabari wanalazimika kuimba pambio za kusifu utawala.
Kama nilivyosema kwenye uzi mwengine, huyo Mkenya pona yake ni kwamba kakamatwa akiwa na mzungu, ingekua mweusi mwenzake wangenyea debe kwa muda mrefu au hata kutokomezwa na watu wasiojulikana.
Kuhusika kwa mzungu tena kaburu wa SA kuliwababaisha Watanzania maana walipigiwa makelele na dunia.
Matukio kama haya hutukumbusha historia ya wapi nchi yetu ilikua enzi zilee za chama dhalimu cha KANU.
Mkuu saivi TZ inatisha kuliko wakati mwingine wowote, tuna shida kubwa kwa upande wa uhuru,
 
Hivi majirani, hawa viongozi Wenu wanatia aibu. Naamini kuwa maamuzi ya kuwakamata wale wanahabari wa Kenya na SA hayakufanywa na viongozi wa vyeo vya chini. Kuongezea, ule upumbavu wa kutumia twitter account yake na kudanganya eti ameshaachilwa, ilifaa ifanywe na watu wa ngazi za juu.

Jambo ambalo silielewi ni: Walikuwa na nia gani ndiposa wakatumia twitter handle na kueneza uongo kuhusu kuachiliwa kwa wahabari hao? Je, Walitaka kuwafanyia jinsi vile Saudi Arabia ilivyomfanyia Khashoggi?

Kwanini walitumia viafisa ambao hata kiingereza hawakielewi? Au hao wakubwa ni bongo lala? Hebu soma tweet hii ujiulize ikiwa yaweza kutoka kwa mtu ambaye ni native speaker wa kiingereza:

tweet-png.925355

Yeyote mwenye akili atajua kuwa hii si tweet ya mwanahabari ambaye ameandika vitabu katika lugha ya kiingereza. "We are released"ni direct translation ya neno "tumeachiliwa".

Tweet sahihi ingekuwa. "God is great. We have been released and we're heading back to our hotel."
"Going back to our hotel" Linatumiwa kwa nadra sana na native speakers.

Tweet hii ni sawa na kusoma ujumbe kutoka kwa mwanahabari na mwandishi wa vitabu wa Tanzania unaosema: "Mungu ni mwema tumeachanwa tunaenda kwa hoteli yetu"

Kisha hawa wazungu hawapendi sana mambo ya Mungu kama sisi wafrika unless ni Mkristo kamili. Naamini aliyeandika haya ni muislamu ambaye katika bongo Zake alikuwa anasema "Alḥamdulillāh" .

Je, hawa watu hawaelewi kuwa wataiweka Tanzania pabaya? Hivi hawa makachero ni wajinga kiasi gani?

Ahaaa haaa haaa
that's a weak analysis I ever met. do you know the difference between formal and informal communication?
you can't expect all the time, formal communication vide personal Twitter account.

Again this Angela uses English as a second language. She is used to Afrikana lingua. don't think that English is a mother tongue to every white person. I travelled in continental Europe, Scandinavian countries, eastern Europe met with white people (blond with blue eyes) but struggling to speak English. so don't think English is honoured by other people like the way you kenyans do.
Teh teh teh tihiii
 
Hehehe halafu hao wanahabari walitumwa na shirika la wanahabari duniani kutathmini uhuru wa vyombo vya habari, yaani wakapata jibu sahihi wenyewe hata bila kuhangaika.
Wanahabari wa Tanzania hupitia mateso sana na ndio maana huwa vigumu kusikia visa vya Tanzania, imekua kama Korea Kaskazini, wanahabari wanalazimika kuimba pambio za kusifu utawala.
Kama nilivyosema kwenye uzi mwengine, huyo Mkenya pona yake ni kwamba kakamatwa akiwa na mzungu, ingekua mweusi mwenzake wangenyea debe kwa muda mrefu au hata kutokomezwa na watu wasiojulikana.
Kuhusika kwa mzungu tena kaburu wa SA kuliwababaisha Watanzania maana walipigiwa makelele na dunia.
Matukio kama haya hutukumbusha historia ya wapi nchi yetu ilikua enzi zilee za chama dhalimu cha KANU.

unaongea tu bila kuwa na taarifa sahihi na kamili.
unajua kibali chao cha kuingia nchini kiliomba nini na wao wakaanza kufanya nini!?
ile nchi iko makini bana siyo kama Kenya ambako mgeni yeyote anaweza fanya lolote bila kuzuiwa na yeyote na kufanywa chochote. NDIYO MAANA kina Dalamare wanaua wakenya weusi wazawa wazalendo akidhani ni nguruwe, halafu anaachwa bila kuhukumiwa kwa kosa la kuua.
 
Back
Top Bottom